title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Makamu wa Rais wa Indonesia, Akiwa Katika Ziara Yake Nchini Humo ya Wiki Moja.
kiungo : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Makamu wa Rais wa Indonesia, Akiwa Katika Ziara Yake Nchini Humo ya Wiki Moja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Makamu wa Rais wa Indonesia, Akiwa Katika Ziara Yake Nchini Humo ya Wiki Moja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyeji wake Makamo wa Rais wa Indonesia Mohammed Jusuf Kalla, alipofika Ofisini kwa Makamo huyo wa Rais leo katika Mji wa Jakarta nchini Indonesia katika ziara ya mualiko maalum wa siku saba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitia saini kitabu cha wageni leo alipowasili Ofisini kwa Mwenyeji wake Makamo wa Rais wa Indonesia Mohammed Jusuf Kalla (kushoto) katika Mji wa Jakarta nchini Indonesia katika ziara ya maalum ya mualiko wa siku saba,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa katika mazungumzo na Mwenyeji wake Makamo wa Rais wa Indonesia Mohammed Jusuf Kalla (kushoto) leo Ofisini kwake katika Mji wa Jakarta nchini Indonesia katika ziara ya maalum ya mualiko wa siku saba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mwenyeji wake Makamo wa Rais wa Indonesia Mohammed Jusuf Kalla (katikati) wakiwa katika mazungumzo pamoja na Viongozi katika Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Viongozi wa Serikali ya Indonesia leo,Ofisini kwa Makamu Jusuf Kalla,katika Mji wa Jakarta nchini Indonesia katika ziara ya maalum ya mualiko wa siku saba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa katika Picha na Mwenyeji wake Makamo wa Rais wa Indonesia Mohammed Jusuf Kalla (kushoto) Ofisini kwake baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo katika Mji wa Jakarta nchini Indonesia katika ziara ya maalum ya mualiko wa siku saba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mwenyeji wake Makamo wa Rais wa Indonesia Mohammed Jusuf Kalla (kulia) baada ya mazungumzo yao pamoja na Viongozi wengine wa Zanzibar na Indonesia,yaliyofanyika leo Ofisini kwa Makamo huyo katika Mji wa Jakarta nchini Indonesia katika ziara ya maalum ya mualiko wa siku saba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali Nchini Indonesia leo mara baada ya mazungumzo na Mwenyeji wake Makamo wa Rais wa Indonesia Mohammed Jusuf Kalla (wa pili kulia) katika Mji wa Jakarta nchini Indonesia katika ziara ya maalum ya mualiko wa siku saba,[Picha na Ikulu.] 01/08/2018.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Makamu wa Rais wa Indonesia, Akiwa Katika Ziara Yake Nchini Humo ya Wiki Moja.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Makamu wa Rais wa Indonesia, Akiwa Katika Ziara Yake Nchini Humo ya Wiki Moja. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Makamu wa Rais wa Indonesia, Akiwa Katika Ziara Yake Nchini Humo ya Wiki Moja. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Makamu wa Rais wa Indonesia, Akiwa Katika Ziara Yake Nchini Humo ya Wiki Moja."
Post a Comment