title : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA NCHI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA NCHI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA NCHI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Nchi wa Mambo ya Nje wa Japan Masahisa Sato mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri wa Nchi wa Mambo ya Nje wa Japan Masahisa Sato zawadi ya Kinyago pamoja na Picha ya Mlima Kilimanjaro mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Nchi wa Mambo ya Nje wa Japan Masahisa Sato mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA NCHI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA NCHI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA NCHI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rais-dkt-magufuli-akutana-na-kufanya.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA NCHI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment