Kamati ya Bajeti Yaipongeza NBS kwa Ufanisi wa Kazi Zake

Kamati ya Bajeti Yaipongeza NBS kwa Ufanisi wa Kazi Zake - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kamati ya Bajeti Yaipongeza NBS kwa Ufanisi wa Kazi Zake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kamati ya Bajeti Yaipongeza NBS kwa Ufanisi wa Kazi Zake
kiungo : Kamati ya Bajeti Yaipongeza NBS kwa Ufanisi wa Kazi Zake

soma pia


Kamati ya Bajeti Yaipongeza NBS kwa Ufanisi wa Kazi Zake

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika semina iliyoandaliwa na NBS jana Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Mhe. Hawa Ghasia akisisitiza jambo wakati wa semina ya ya wajumbe wa Kamati hiyo iliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS),jijijini Dodoma jana. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa.
Meneja wa Takwimu za Mazingira, Bibi. Ruth Minja akiwasilisha mada mbele ya wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika semina iliyoandaliwa na NBS jana Jijini Dodoma. Mtakwimu Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Bw. Steven Maganda akiwasilisha mada kuhusu utafiti wa kaya mbele ya wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika semina iliyoandaliwa na NBS jana Jijini Dodoma. Mbunge wa Jimbo la Mvomero, mkoani Morogoro Jeetson Patel akichangia mada wakati wa semina ya wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) jana Jijini Dodoma.[ Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na watendaji wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakifuatilia mada wakati wa semina kwa wajumbe hao iliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) jana Jijini Dodoma.(Picha na Idara ya Habari - MAELEZO)


Hivyo makala Kamati ya Bajeti Yaipongeza NBS kwa Ufanisi wa Kazi Zake

yaani makala yote Kamati ya Bajeti Yaipongeza NBS kwa Ufanisi wa Kazi Zake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kamati ya Bajeti Yaipongeza NBS kwa Ufanisi wa Kazi Zake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/kamati-ya-bajeti-yaipongeza-nbs-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kamati ya Bajeti Yaipongeza NBS kwa Ufanisi wa Kazi Zake"

Post a Comment