title : Dkt. Shein akutana na kufanya mazungumzo na Meya wa Jimbo la Gorontalo na Kiongozi wa Kampuni ya gesi nchini Indonesia
kiungo : Dkt. Shein akutana na kufanya mazungumzo na Meya wa Jimbo la Gorontalo na Kiongozi wa Kampuni ya gesi nchini Indonesia
Dkt. Shein akutana na kufanya mazungumzo na Meya wa Jimbo la Gorontalo na Kiongozi wa Kampuni ya gesi nchini Indonesia
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Ujumbe wake katika mazungumzo na Meya wa Jimbo la Gorontalo Prof. Nelson Pamalingo (kulia) wakati wa mkutano na Meya huyo yaliyogusia zaidi katika ushikiano wa kilimo cha Minazi hafla ya mazungumzo hayo ilifanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Borobudur Mjini Jakarta,Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohammed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Meya wa Jimbo la Gorontalo Prof.Nelson Pamalingo(katikati) na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi katika Ujumbe wake Rais (kushoto) na Viongozi waliuongama na Mstahiki Meya wakiwa katika Picha ya pamoja mara baada ya mazungungumzo ya pamoja yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Borobudur Mjini Jakarta,Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohammed Jusuf Kalla.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Kiongozi wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Pertamina ya Jakarta Nchini Indonesia Bw.Daniel S.Purba akiwa na ujumbe wa kampuni hiyo walipofika kwa mazungumzo katika ukumbi wa Ofisi ya Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN) Mjini Jakarta Indonesia Rais akiwa katika ziara ya kikazi ya siku saba kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mhe.Mohammed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malaysia pia akiwakilisha Tanzania Nchini Indonesia Mhe.Dkt Ramadhani Kitwana Dau (wa pili kulia)wakati wa mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Pertamina ya Jakarta Nchini Indonesia,(hawapo pichani ) katika Ukumbi wa Ofisi ya Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN) Mjini Jakarta Indonesia ,katika ziara ya kikazi ya siku saba kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mhe.Mohammed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na ujumbe wake katika mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Pertamina ya Jakarta Nchini Indonesia,unaoongozwa na Kiongozi Daniel S.Purba (wa pili kulia) mazungumzo hayo yalifanyika jana katika ukumbi wa Ofisi ya Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN) Mjini Jakarta Indonesia ,katika ziara ya kikazi ya siku saba kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mhe.Mohammed Jusuf Kalla. Picha na Ikulu.
Hivyo makala Dkt. Shein akutana na kufanya mazungumzo na Meya wa Jimbo la Gorontalo na Kiongozi wa Kampuni ya gesi nchini Indonesia
yaani makala yote Dkt. Shein akutana na kufanya mazungumzo na Meya wa Jimbo la Gorontalo na Kiongozi wa Kampuni ya gesi nchini Indonesia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dkt. Shein akutana na kufanya mazungumzo na Meya wa Jimbo la Gorontalo na Kiongozi wa Kampuni ya gesi nchini Indonesia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/dkt-shein-akutana-na-kufanya-mazungumzo.html
0 Response to "Dkt. Shein akutana na kufanya mazungumzo na Meya wa Jimbo la Gorontalo na Kiongozi wa Kampuni ya gesi nchini Indonesia"
Post a Comment