title : ASALI YA TANZANIA NIBORA IMEPATA TUZO MAREKANI
kiungo : ASALI YA TANZANIA NIBORA IMEPATA TUZO MAREKANI
ASALI YA TANZANIA NIBORA IMEPATA TUZO MAREKANI
Mwamba wa habari
Na. John Luhende
Watanzania wameshauriwa kutumia asali inayozalishwa na wafugaji nyuki wa ndani kwakuwa ni asali bora kuliko zingine.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa kampuni ya Follow the Honey Tanzania Kaizirege Kamara, Katika maonyesho ya 42 Kimataifa ya Biashara katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa Dar es Salaam na kusema kuwa Asali inayozalishwa Tanzania imepata soko kubwa Ulimwenguni kutokana na ubora wake.
"Asali hii unayoiona tunauza Marekani na imepatatuzo sasa minashangaa kuona mtu a naenda kununua Asali Arabiani wakati hatanyuki hawafugi ,"amesema
Aidha amesema wanahamsisha wananchi kutumia Asali ya Tanzania sikwa sababu kuwa ni Tanzania bali ni kwa sababu ni bora kwa Afya.
Ameongeza kuwa walianzisha kilimo nyuki pia kwa sababu ya kutunza mazingira na kuanza kutengeneza bidhaa mbali mbali za viwandani.
Pamoja na hayo amesema sektayanyuki ni mtambuka nainasaidia na inasaidia kukuza uchumi wa viwanda na uchumi wa mwananchi.
Hivyo makala ASALI YA TANZANIA NIBORA IMEPATA TUZO MAREKANI
yaani makala yote ASALI YA TANZANIA NIBORA IMEPATA TUZO MAREKANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ASALI YA TANZANIA NIBORA IMEPATA TUZO MAREKANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/asali-ya-tanzania-nibora-imepata-tuzo.html
0 Response to "ASALI YA TANZANIA NIBORA IMEPATA TUZO MAREKANI"
Post a Comment