SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KUUAGA MWILI WA BABA MZAZI WA MBUNGE WA MANYONI MASHARIKI LEO KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA

SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KUUAGA MWILI WA BABA MZAZI WA MBUNGE WA MANYONI MASHARIKI LEO KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KUUAGA MWILI WA BABA MZAZI WA MBUNGE WA MANYONI MASHARIKI LEO KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KUUAGA MWILI WA BABA MZAZI WA MBUNGE WA MANYONI MASHARIKI LEO KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA
kiungo : SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KUUAGA MWILI WA BABA MZAZI WA MBUNGE WA MANYONI MASHARIKI LEO KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA

soma pia


SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KUUAGA MWILI WA BABA MZAZI WA MBUNGE WA MANYONI MASHARIKI LEO KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai aongoza Waheshimiwa Wabunge katika kuuaga mwili wa Ndg. Mtuka Daniel Nguluba ambaye ni Baba Mzazi wa Mbunge wa Manyoni Mashariki, Mhe. Daniel Mtuka katika tukio lililofanyika leo tarehe 12 Juni, 2018 katika hospitali ya Mkoa wa Dodoma.
Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge wakibeba mwili wa Baba mzazi wa Mbunge wa Manyoni Mashariki, Mhe. Daniel Mtuka aliefariki juzi  tarehe 10 Juni, 2018 katika hospitali ya Mkoa wa Dodoma. Mwili huo uliagwa leo katika hospital hiyo Jijini Dodoma
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akimfariji  Mbunge wa Manyoni Mashariki, Mhe. Daniel Mtuka baada ya kuondokewa na Baba yake mzazi aliefariki  juzi tarehe 10 Juni, 2018 katika hospitali ya Mkoa wa Dodoma.
Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge, ndugu, jamaa na marafiki waliofika katika hospitali ya Mkoa wa Dodoma kabla ya kuuaga mwili wa Baba mzazi wa Mbunge wa Manyoni Mashariki, Mhe. Daniel Mtuka katika tukio lililofanyika  leo tarehe 12 Juni, 2018  katika hospitali ya Mkoa wa Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (wa tatu kulia mbele), katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai (kulia mbele) wakiwa pamoja na Waheshimiwa Wabunge, ndugu, jamaa na marafiki kabla ya kuuaga mwili wa Baba mzazi wa Mbunge wa Manyoni Mashariki, Mhe. Daniel Mtuka aliefariki  juzi tarehe 10 Juni, 2018 katika hospitali ya Mkoa wa Dodoma. ​
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KUUAGA MWILI WA BABA MZAZI WA MBUNGE WA MANYONI MASHARIKI LEO KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KUUAGA MWILI WA BABA MZAZI WA MBUNGE WA MANYONI MASHARIKI LEO KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KUUAGA MWILI WA BABA MZAZI WA MBUNGE WA MANYONI MASHARIKI LEO KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/spika-ndugai-aongoza-wabunge-kuuaga.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KUUAGA MWILI WA BABA MZAZI WA MBUNGE WA MANYONI MASHARIKI LEO KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA"

Post a Comment