title : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA VATICAN NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA VATICAN NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA VATICAN NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Vatican Nchini Mhashama Askofu Mkuu Mrek Solezyriski Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 12, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Balozi wa Vatican Nchini Mhashama Askofu Mkuu Mrek Solezyriski baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 12, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Vatican Nchini Mhashama Askofu Mkuu Mrek Solezyriski baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 12, 2018.
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA VATICAN NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA VATICAN NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA VATICAN NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/rais-dkt-magufuli-akutana-na-balozi-wa_12.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA VATICAN NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment