KILIMO CHA UMWAGILIAJI TATUZI MUAFAKA LA CHANGAMOTO ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI.

KILIMO CHA UMWAGILIAJI TATUZI MUAFAKA LA CHANGAMOTO ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KILIMO CHA UMWAGILIAJI TATUZI MUAFAKA LA CHANGAMOTO ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KILIMO CHA UMWAGILIAJI TATUZI MUAFAKA LA CHANGAMOTO ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI.
kiungo : KILIMO CHA UMWAGILIAJI TATUZI MUAFAKA LA CHANGAMOTO ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI.

soma pia


KILIMO CHA UMWAGILIAJI TATUZI MUAFAKA LA CHANGAMOTO ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI.

Mwandishi Maalum - Dar es Salaam

Imeelezwa kuwa Kilimo kinachotumia teknolojia ya kisasa ya umwagiliaji ndiyo tatuzi muafaka la changamoto zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi katika sekta ya kilimo.

Hayo yameelezwa leo jijini Dar es Salaam na Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Uendelezaji wa Teknolojia ya Uwagiliaji Bwana. Anthon Nyarubamba, kutoka tume ya Taifa ya Umwagiliaji, alipokuwa akiongea na waandishi wa habari Ofisini kwake.

Bw. Nyarubamba Amesema kuwa, Kilimo hiki cha Umwagiliaji kinatumia teknolojia ya kisasa ya njia ya matone ya maji pamoja na kuvuna maji ya mvua katika mwabwawa maalum, yaliyojengwa katika maeneo ya mashamba ya umwagiliaji, maji ambayo yanatumika kwa kilimo katika kipindi chote cha mwaka bila kujali upatikanaji wa mvua za msimu.

Aidha Bw. Nyarubamba aliendelea kusema kuwa , uvunaji huu wa maji ya mvua unapelekea kuzuia mafuriko mengi yanayosabishwa na kubadilika kwa hali ya hewa kunakoharibu kwa kiasi kikubwa miundombinu mingine kama vile madaraja na barabara.

“Serikali iongeze Rasilimali za kutosha katika kilimo cha umwagiliji, ili kuweza kujenga mabwawa ya kutosha kupokea maji katika maeneo yenye skimu za umwagiliaji na kupunguza athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi, Alisisitiza.”


Sehemu Picha shamba la vitunguu lililopo katika eneo la skimu ya umwagiliaji la Mbalali Mkoani Mbeya.
sehemu ya Shamba la umwagiliaji lililopo katika skimu ya umwagiliaji ya Lemkuna Manyara.
Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Uendelezaji wa Teknolojia ya Uwagiliaji kutoka katika Tume ya taifa ya Umwagiliaji,Anthon Nyarubamba akifafanua jambo kuhusu kilimo cha umwagiliaji alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.


Hivyo makala KILIMO CHA UMWAGILIAJI TATUZI MUAFAKA LA CHANGAMOTO ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI.

yaani makala yote KILIMO CHA UMWAGILIAJI TATUZI MUAFAKA LA CHANGAMOTO ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KILIMO CHA UMWAGILIAJI TATUZI MUAFAKA LA CHANGAMOTO ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/kilimo-cha-umwagiliaji-tatuzi-muafaka.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KILIMO CHA UMWAGILIAJI TATUZI MUAFAKA LA CHANGAMOTO ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI."

Post a Comment