KAMPUNI ZITAKAZOLETA UBABAISHAJI KATIKA MALIPO YA PAMBA YA WAKULIMA KUFUTIWA LESENI

KAMPUNI ZITAKAZOLETA UBABAISHAJI KATIKA MALIPO YA PAMBA YA WAKULIMA KUFUTIWA LESENI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI ZITAKAZOLETA UBABAISHAJI KATIKA MALIPO YA PAMBA YA WAKULIMA KUFUTIWA LESENI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI ZITAKAZOLETA UBABAISHAJI KATIKA MALIPO YA PAMBA YA WAKULIMA KUFUTIWA LESENI
kiungo : KAMPUNI ZITAKAZOLETA UBABAISHAJI KATIKA MALIPO YA PAMBA YA WAKULIMA KUFUTIWA LESENI

soma pia


KAMPUNI ZITAKAZOLETA UBABAISHAJI KATIKA MALIPO YA PAMBA YA WAKULIMA KUFUTIWA LESENI

NA TIGANYA VINCENT, RS TABORA

SERIKALI imesema haitasita kuzifuta na kuzinyang’anya leseni Kampuni ambazo zinanua pamba hapa nchini ikiwa zitachelewesha fedha za wakulima  wa zao hilo na kuanza kuwazungusha bila kuwalipa fedha zao.

Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Kilimo Dkt Charles Tizeba wakati akizindua ununuzi wa Pamba katika Kijiji cha Muhilidede wilayani Uyui Mkoani Tabora

Alisema ni jukumu la Kampuni zinapomaliza kununua pamba ya mkulima kumlipa palepale siku hiyo hiyo kwa kuwekea fedha katika Akaunti yake au kupitia simu ya mkononi na kisha pesa ikishaingia anaone ujumbe wa kumhakikisha kulipwa

Waziri huyo aliwataka Viongozi wa Vyama vya Msingi vya Ushirika, Halmashauri za Wilaya na Wakulima walisikubali Kampuni ziondoe pamba katika Vituo vya kununulia pamaba kama malipo kwa wakulima hajafanyika na chama cha mshingi na Halmashauri hazijalipwa.

Dkt. Tizeba alisema Serikali inaachukua hatua hiyo ili kurejesha imani kwa wakulima juu ya ushirika ambao umekuwa ukipigwa vita na baadhi ya watu.

Aidha Waziri huyo aliwaagiza Viongozi wa Vyama vya Msingi vya Ushirika kuhakikisha vinawakamata na kuwapeleka Polisi watu wote ambao watapeleka pamba iliyochanganywa na uchafu na ile wekewa maji kwa sababu watu hao ni sawa na wezi.

Alisema mkulima anaweka maji kwenye pamba na yule anayeweka uchafu anataka kuhujumu zao hilo  kwa kusababisha mbegu zitakazolishwa zisiote na wanunuzi watoe bei mbaya kwa pamba chafu.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri aliwataka viongozi wa Vyama vya Ushirika kutumia sehemu ya asilimia 33 ya kila kilo watakayopata kununua Matrekta ili kuongeza uzalishaji wa zao hilo msimu ujao.

Alisema kuwa kupitia kilimo cha matumizi ya jembe la mkono hakiwezi kuleta mapinduzi ya kilimo na manufaa kwa mkulima mkoani humo.


Hivyo makala KAMPUNI ZITAKAZOLETA UBABAISHAJI KATIKA MALIPO YA PAMBA YA WAKULIMA KUFUTIWA LESENI

yaani makala yote KAMPUNI ZITAKAZOLETA UBABAISHAJI KATIKA MALIPO YA PAMBA YA WAKULIMA KUFUTIWA LESENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI ZITAKAZOLETA UBABAISHAJI KATIKA MALIPO YA PAMBA YA WAKULIMA KUFUTIWA LESENI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/kampuni-zitakazoleta-ubabaishaji-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KAMPUNI ZITAKAZOLETA UBABAISHAJI KATIKA MALIPO YA PAMBA YA WAKULIMA KUFUTIWA LESENI"

Post a Comment