title : MUHAS MLOGANZILA WAZINDUA HUDUMA ZA KUSAFISHA DAMU KWA WAGONJWA WA FIGO
kiungo : MUHAS MLOGANZILA WAZINDUA HUDUMA ZA KUSAFISHA DAMU KWA WAGONJWA WA FIGO
MUHAS MLOGANZILA WAZINDUA HUDUMA ZA KUSAFISHA DAMU KWA WAGONJWA WA FIGO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya ambaye alikuwa mgeni rasmi (wa tatu toka kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo (wa pili toka kushoto) wakikata utepe wa kuzindua huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Wagongwa wakipata huduma ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) leo ilipofanyika uzinduzi katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Mmoja ya madaktari alionyesha mashine ya kusafisha damu.
Hivyo makala MUHAS MLOGANZILA WAZINDUA HUDUMA ZA KUSAFISHA DAMU KWA WAGONJWA WA FIGO
yaani makala yote MUHAS MLOGANZILA WAZINDUA HUDUMA ZA KUSAFISHA DAMU KWA WAGONJWA WA FIGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MUHAS MLOGANZILA WAZINDUA HUDUMA ZA KUSAFISHA DAMU KWA WAGONJWA WA FIGO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/muhas-mloganzila-wazindua-huduma-za.html
0 Response to "MUHAS MLOGANZILA WAZINDUA HUDUMA ZA KUSAFISHA DAMU KWA WAGONJWA WA FIGO"
Post a Comment