MAKABIDHIANO YA WATENDAJI WA WIZARA MPYA PEMBA

MAKABIDHIANO YA WATENDAJI WA WIZARA MPYA PEMBA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKABIDHIANO YA WATENDAJI WA WIZARA MPYA PEMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKABIDHIANO YA WATENDAJI WA WIZARA MPYA PEMBA
kiungo : MAKABIDHIANO YA WATENDAJI WA WIZARA MPYA PEMBA

soma pia


MAKABIDHIANO YA WATENDAJI WA WIZARA MPYA PEMBA

OFISA mdhamini Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Pemba, Massoud Ali Mohamed, akitoa nasaha zake kwa Uongozi Mpya wa Wizara ya Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo Pemba, wakati wa hafala ya makabidhiano ya watendaji kutoka wizara moja kwenda yengine, yaliyofanyika Gombani Chake Chake
Ofisa mdhamini Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Pemba, Khadija Khamis Rajab, akisoma taarifa ya makabidhiano ya wafanyakazi wa idara ya vijana, ambao kwa sasa wamehamia katika wizara ya Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo Pemba, hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika uwanja wa Gombani Chake Chake
Ofisa mdhamini Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Pemba, Khadija Khamis Rajab, akisoma taarifa ya makabidhiano ya wafanyakazi wa idara ya vijana, ambao kwa sasa wamehamia katika wizara ya Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo Pemba, hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika uwanja wa Gombani Chake Chake
OFISA mdhamini Wizara ya Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab akizungumza na watendaji wa idara mbali mbali za wizara hiyo, mara baada yan kukabidhiwa watendaji hao kutoka wizara tofauti za awali, hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo Gombani Chake Chake
OFISA mdhamini Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale Pemba, Khatib Juma Mjaja, akimkabidhi Sera ya Utamaduni na Michezo Ofisa Mdhamini Wizara ya Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab makabidhiano hayo yaliyofanyika katika uwanja wa Gombani Chake Chake.

MAAFISA wadhamini kutoka Wizara mbali mbali, wa kwanza kushoto Ofisa mdhamini Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Pemba, Massoud Ali Mohamed, wapili OFISA mdhamini Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale Pemba, Khatib Juma Mjaja, watatu OFISA mdhamini Wizara ya Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab na Ofisa mdhamini Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Pemba, Khadija Khamis Rajab, wakiomba dua baadha kukabidhi watendaji kwa Wizara mpya ya Vijana.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)


Hivyo makala MAKABIDHIANO YA WATENDAJI WA WIZARA MPYA PEMBA

yaani makala yote MAKABIDHIANO YA WATENDAJI WA WIZARA MPYA PEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKABIDHIANO YA WATENDAJI WA WIZARA MPYA PEMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/makabidhiano-ya-watendaji-wa-wizara.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKABIDHIANO YA WATENDAJI WA WIZARA MPYA PEMBA"

Post a Comment