MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI

MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI
kiungo : MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI

soma pia


MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI


Mwamba wahabari
Madiwani kutoka mkoani Lindi leo wameafanya  ziara ya sikumoja kutembelea  maeneo mbalimbali katika Maispaa ya Ilala  kwa lengo   la kujifunza , ambapo katika hatua ya kwanza wamepata semina ya Mazingira iliyotolewa na wataalamu wa Idara ya mazingira  wa Manispaa.

Katika semina hiyo wamepata kujifunza na kupata uzoefu wa namna Manispaa ya Ilala inavyo shughulikia suala la  usafi katika maeneom ya mjni na pembezoni ya mji.



Akitoa mafunzo kwa Madiwani hao mkuu wa Idara hiyo  Abdon Mapunda ,ameelezakuwa Manispaa ya Ilala imefanikiwa kupungu kwa kiasi kikubwa tatizo la uchafu wa taka katika maeneo ya katikati ya jiji kutokana na ushirikianao wa wafanyabiashara , wakandarasi wa makampuni ya kuzoa taka  na mipango mizuri ya usimamizi iliyo wekwa na Manispaa hiyo.
Baadhi ya Madiwani wakichangia na kuuza maswali  wameipongeza Manispaa ya Ilala kwa kupiga hatua kubwa katika maeneo hayo  na kusema kuwa ziara yao imekuwa na mafanikio pamoja na mapokezi mazuri ambayo wamesema wamepokelewa  vizuri , wameahidi kuyafanyia kazi waliyojifunza ilikuweza kuendeleza maeneo ya mji wao.



Aidha katika hatua nyingine Madiwani hao wametembelea eneo kiwanda ch kuchakata taka kuwa mbolea KIKUTA kilichopo  Gongolamboto , pamoja na Dampo la Kinyamwezi ambapo meneo yote hayo wamekutana na wataalamu waliowapa maelezo namna maeneo hayo yanavyojiendesha.
Akizungumza baada ya kuhitisha ziara hiyo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Lindi Mohamed Liyumbo , ameshukuu kwa kupata mapokezi makubwa kutoka Ilala na kusema kuwa  ziara yao imekuwa na mafanikio makubwa kwani wamejifunza mambo mengi kuhusu mazingira na watakaporudi kwao watahakikisha wanayafanyia kazi yote waliyojifunza .

‘’Nashukuru sana Manispaa mmetupokea vizuri  tumpata semina , tumetembelea miradi ya mazingira kwakweli  tufahamu mengi mmetufumbua macho nasisi tumeona ipohaja ya kufanya kamaninyi.’’Alisema 






Hivyo makala MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI

yaani makala yote MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/madiwani-wa-manispaa-ya-lindi-wafanya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WAFANYA ZIARA DAR,WAIMWAGIA SIFA MANISPAA YA ILALA KWA USAFI"

Post a Comment