JAN INTERNATIONAL YACHEZESHA BAHATI NASIBU KWA WATEJA WAKE,MSHINDI AJISHINDIA GARI.

JAN INTERNATIONAL YACHEZESHA BAHATI NASIBU KWA WATEJA WAKE,MSHINDI AJISHINDIA GARI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAN INTERNATIONAL YACHEZESHA BAHATI NASIBU KWA WATEJA WAKE,MSHINDI AJISHINDIA GARI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAN INTERNATIONAL YACHEZESHA BAHATI NASIBU KWA WATEJA WAKE,MSHINDI AJISHINDIA GARI.
kiungo : JAN INTERNATIONAL YACHEZESHA BAHATI NASIBU KWA WATEJA WAKE,MSHINDI AJISHINDIA GARI.

soma pia


JAN INTERNATIONAL YACHEZESHA BAHATI NASIBU KWA WATEJA WAKE,MSHINDI AJISHINDIA GARI.


 Mkurugenzi wa Kampuni ya Jan International Sheikh Muhmmad akisoma moja ya tiketi ya mshindi wa Bahati Nasibu iliyochezeshwa na kampuni hiyo mbele ya wateja wao mapema mwisho mwa wiki Namanga,jijini Dar,ambapo mshindi alijinyakulia gari,kulia kwake ni Meneja wa Kampuni hiyo Mohamed Shebu Omari akishuhudia
  Murugenzi wa Kampuni ya Jan International Sheikh Muhmmad akiwaonesha  wateja wao (hawapo pichani) moja ya tiketi ya mshindi wa Bahati Nasibu iliyochezeshwa na kampuni hiyo kwa Wateja wao mapema mwisho mwa wiki,Namanga Jijini Dar,ambapo mshindi alijinyakulia gari.
  Picha kulia ni baadhi ya viongozi wa Kampuni ya Jan International wakimkabidhi Mshindi wa Bahati Nasibu iliyochezeshwa na kampuni hiyo,mfano wa ufunguo kwa mshindi wa tatu kulia aliyejulikana kwa jina la Young Gwang Yu
Mshindi wa Gari Young Gwang Yu akiwa na mfano wa funguo mara baada ya kutajwa kuwa mshindi wa bahati nasibu iliyochezeshwa na kampuni ya Jan International mbele ya Wateja wake mbalimbali (hawapo pichani),mapema mwisho mwa wiki. Jan International ni wauzaji wa magari yaliyotumika,ambapo kwa sasa inafanya kazi katika nchi 18 Duniani ikiwemo Tanzania


Hivyo makala JAN INTERNATIONAL YACHEZESHA BAHATI NASIBU KWA WATEJA WAKE,MSHINDI AJISHINDIA GARI.

yaani makala yote JAN INTERNATIONAL YACHEZESHA BAHATI NASIBU KWA WATEJA WAKE,MSHINDI AJISHINDIA GARI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAN INTERNATIONAL YACHEZESHA BAHATI NASIBU KWA WATEJA WAKE,MSHINDI AJISHINDIA GARI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/jan-international-yachezesha-bahati.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAN INTERNATIONAL YACHEZESHA BAHATI NASIBU KWA WATEJA WAKE,MSHINDI AJISHINDIA GARI."

Post a Comment