FAMILIA YALALAMIKA NYUMBA KUVUNJWA BILA KUFUATA SHERIA, WAMUOMBA MAKONDA AWASAIDIE HAKI ITENDEKE

FAMILIA YALALAMIKA NYUMBA KUVUNJWA BILA KUFUATA SHERIA, WAMUOMBA MAKONDA AWASAIDIE HAKI ITENDEKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa FAMILIA YALALAMIKA NYUMBA KUVUNJWA BILA KUFUATA SHERIA, WAMUOMBA MAKONDA AWASAIDIE HAKI ITENDEKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : FAMILIA YALALAMIKA NYUMBA KUVUNJWA BILA KUFUATA SHERIA, WAMUOMBA MAKONDA AWASAIDIE HAKI ITENDEKE
kiungo : FAMILIA YALALAMIKA NYUMBA KUVUNJWA BILA KUFUATA SHERIA, WAMUOMBA MAKONDA AWASAIDIE HAKI ITENDEKE

soma pia


FAMILIA YALALAMIKA NYUMBA KUVUNJWA BILA KUFUATA SHERIA, WAMUOMBA MAKONDA AWASAIDIE HAKI ITENDEKE

Na Emmanuel Masaka, Globu ya jamii.

Edith Max amemuomba Makonda kusaidia ili haki ipatikane na kufafanua nyumba yao imeporwa na moja ya taasisi na kisha kuiuza katika moja ya benki iliyopo nchini(jina tunalo).

Akieleza mkasa huo amedai familia yao ilikopa fedha Sh.milioni 30 katika benki hiyo na kudai walipotaka kulipa deni hilo walizungushwa na baadaye wakaambiwa kuna riba imeongezeka kutoka Sh.milioni 30, hadi Sh.million 90.

Amesema walikubali kulipa lakini kila wakifuatilia kulipa tena wakaendelea kuzungushwa hadi deni likafikia Sh.milioni 120 lakini walikubali kulipa fedha hiyo.Walipoenda kulipa wakabaini kuna udanganyifu umefanyika kwa kugushiwa hati ya mirathi na mtu asiyetambulika na familia.

Amefafanua familia fungua mirathi yake Januari 17 katika Mahakama ya mwanzo Kinondoni na Msimamizi wa mirathi hiyo Max Edmund Kafipa .Awali anasema, suala hili walilipeleka kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Makonda wakati wa kampeni yake ya kuwasikiliza walidhurumiwa nyumba, viwanja na mashamba iliyofanyika Januari ambapo tarehe 30 pande zote ziliitwa na kujadiliana mbele ya wanasheria na uamuzi yao yanatarajiwa kutolewa Mei 7 mwaka huu.

Hata hivyo amesema kabla ya kuanza kuvunja nyumba hiyo wahusika walipewa uzio la kutovunja lakini nyumba hiyo ikavunjwa jambo ambalo ni kinyume na sheria."Wakili wao alitamka wazi kwa Makonda hana Mamlaka ya kuingilia mambo haya na hii nyumba tulikuwa tunaitaka muda mrefu,"amesema.

Ameongeza "jana walituita wa kasema wanataka watulipe fedha.Wakatuuliza mnataka tuwape bei gani ? tukasema tulipeni Sh.bilion 2, waomba wajadiliane lakini cha kushangaza wamekuka kuvunja nyumba yetu."Kwa upande wake Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mfaume AbdulKarim Gulam Shambe amekiri kuwepo kwa sakata hilo na kwamba wakati wanakwenda kuvunja nyumba hiyo walitoa taarifa wakati wameshaanza kuivunja.

  Msemaji wa familia hiyo Edith Max (kulia)akuonesha  nyumba hiyo  jana jijini Dar as Salaam.


Hivyo makala FAMILIA YALALAMIKA NYUMBA KUVUNJWA BILA KUFUATA SHERIA, WAMUOMBA MAKONDA AWASAIDIE HAKI ITENDEKE

yaani makala yote FAMILIA YALALAMIKA NYUMBA KUVUNJWA BILA KUFUATA SHERIA, WAMUOMBA MAKONDA AWASAIDIE HAKI ITENDEKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala FAMILIA YALALAMIKA NYUMBA KUVUNJWA BILA KUFUATA SHERIA, WAMUOMBA MAKONDA AWASAIDIE HAKI ITENDEKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/familia-yalalamika-nyumba-kuvunjwa-bila.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "FAMILIA YALALAMIKA NYUMBA KUVUNJWA BILA KUFUATA SHERIA, WAMUOMBA MAKONDA AWASAIDIE HAKI ITENDEKE"

Post a Comment