Wizara ya Afya yamuaga Aliyekuwa Waziri wa Afya Mhe Mahmoud Thabit Kombo

Wizara ya Afya yamuaga Aliyekuwa Waziri wa Afya Mhe Mahmoud Thabit Kombo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wizara ya Afya yamuaga Aliyekuwa Waziri wa Afya Mhe Mahmoud Thabit Kombo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wizara ya Afya yamuaga Aliyekuwa Waziri wa Afya Mhe Mahmoud Thabit Kombo
kiungo : Wizara ya Afya yamuaga Aliyekuwa Waziri wa Afya Mhe Mahmoud Thabit Kombo

soma pia


Wizara ya Afya yamuaga Aliyekuwa Waziri wa Afya Mhe Mahmoud Thabit Kombo

 WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mahmoud Thabiti Kombo akiwashukuru wafanyakazi wa Wizara ya Afya katika chakula cha mchana alichoandaliwa kwaajili ya kumuaga.
  WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akizungumza katika ghafla ya kumuaga aliekuwa Waziri wa Afya Mahmoud Thabiti Kombo katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
 
 KATIBU MKUU Wizara ya Afya Zanzibar Asha Abdulla Ali akimkabidhi Zawadi aliekua Waziri wa Wizara hiyo Mahmoud Thabiti Kombo  katika hafla ya chakula iliofanyika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.

 NAIBU WAZIRI wa Afya Zanzibar, Harusi Said Suleiman akitoa neno la shukrani kwa mashirikiano mazuri walioyapata chini ya uongozi wake. 

 WAZIRI wa Afya Zanzibar  Hamad Rashid Mohammed akiwaongoza Viongozi mbalimbali katika chakula cha kumuaga Waziri wa zamani wa Wizara hiyo. (Picha na Abdalla Omar  Maelezo - Zanzibar).​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​



Hivyo makala Wizara ya Afya yamuaga Aliyekuwa Waziri wa Afya Mhe Mahmoud Thabit Kombo

yaani makala yote Wizara ya Afya yamuaga Aliyekuwa Waziri wa Afya Mhe Mahmoud Thabit Kombo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wizara ya Afya yamuaga Aliyekuwa Waziri wa Afya Mhe Mahmoud Thabit Kombo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/wizara-ya-afya-yamuaga-aliyekuwa-waziri.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wizara ya Afya yamuaga Aliyekuwa Waziri wa Afya Mhe Mahmoud Thabit Kombo"

Post a Comment