title : UZINDUZI WA CHANJO MPYA DHIDI YA MARADHI YA SARATANI LA MLANGO WA KIZAZI
kiungo : UZINDUZI WA CHANJO MPYA DHIDI YA MARADHI YA SARATANI LA MLANGO WA KIZAZI
UZINDUZI WA CHANJO MPYA DHIDI YA MARADHI YA SARATANI LA MLANGO WA KIZAZI
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Hassan Khatibu Hassan wakati alipowasili viwanja vya Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja katika Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo (wa pili kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed,[Picha na Ikulu.] 10/04/2018.
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Afya na Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Uzinduzi wa Chanjo mpyaDhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani)
Mwakilishi wa Shirika la Misaada la UNFPA Batula Abdia akitoa salamu zake katika Uzinduzi wa Chanjo mpyaDhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani),
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, (kushoto0 Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Moudline Syrus Castico
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kulia) alipokuwa akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, (kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed na (katikati)Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Hassan Khatibu Hassan
Wauguzi kituo cha Afya Dunga na Wanafunzi wakiwa katika Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani),
Wananchi wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani),wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kulia) akionesha kichupa cha Dawa ya chanjo ya kama ishara ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, (kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kushoto) akimuangalia Mwanafunzi Wahida Makame Sunna (katikati) akipatiwa Chanjo ya(HPV) mara baada ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo.
Hivyo makala UZINDUZI WA CHANJO MPYA DHIDI YA MARADHI YA SARATANI LA MLANGO WA KIZAZI
yaani makala yote UZINDUZI WA CHANJO MPYA DHIDI YA MARADHI YA SARATANI LA MLANGO WA KIZAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UZINDUZI WA CHANJO MPYA DHIDI YA MARADHI YA SARATANI LA MLANGO WA KIZAZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/uzinduzi-wa-chanjo-mpya-dhidi-ya.html
0 Response to "UZINDUZI WA CHANJO MPYA DHIDI YA MARADHI YA SARATANI LA MLANGO WA KIZAZI"
Post a Comment