title : Maafisa wa Sekretarieti ya maadili watembelea Klabu ya Maadili wa Shule ya Msingi Chang’ombe Dodoma
kiungo : Maafisa wa Sekretarieti ya maadili watembelea Klabu ya Maadili wa Shule ya Msingi Chang’ombe Dodoma
Maafisa wa Sekretarieti ya maadili watembelea Klabu ya Maadili wa Shule ya Msingi Chang’ombe Dodoma
Mwenyekiti wa Klabu ya Maadili wa Shule ya Msingi Chang’ombe iliyoko Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma, Ndg. Yohana Sambila akifanya utambulisho kwa Maafisa wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ofisi ya Kanda ya Kati Dodoma waliofika shuleni hapo kufuatilia maendeleo ya Klabu hiyo.
Mjumbe wa Klabu ya Maadili Shule ya Msingi chang’ombe iliyoko Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma, Ndg. Paskali Lazaro akitoa neno la shukrani kwa Maafisa wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Ofisi ya Kanda ya Kati Dodoma walitembelea Klabu hiyo kwa lengo kujua maendeleo yake.
Katibu Msiaidizi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ofisi ya Kanda ya Kati Dodoma, Bw. Cathlex Makawia akikabidhi vitendea kazi vya kujifunzia mambo ya maadili kwa Mwenyekiti wa Klabu ya Maadili wa Shule ya Msingi Chang’ombe Ndg. Yohana Sambila wakati alipotembelea Klabu hiyo kwa lengokujua maendeleo yake. Aliyesimama pembeni ya Yohana ni Katibu wa Klabu hiyo Ndg. Witness Msigwa.
Mwalimu wa Usawa wa Jinsia wa Shule ya Msingi Chang’ombe, Bibi. Salome Konki akichangia mada katika kikao kilichowakutanisha Wananchama wa Klabu ya Maadili shuleni hapo na Maafisa kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma waliotembelea Klabu hiyo kwa lengo kujua maendeleo yake.
Katibu Msiaidizi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ofisi ya Kanda ya Kati Dodoma, Bw. Cathlex Makawia(aliyekaa katikati) katika picha ya pamoja na Wananchama wa Klabu ya Maadili Shule ya Msingi Chang’ome pamoja na Walimu wao mara baada ya kumaliza kikao kilichokuwa na lengo la kujua maendeleo ya Klabu hiyo. Kutoka kushoto ni Bw. Dotto Mwatengule – Mwalimu Mlezi, Bibi Magreth Kisanga – Mwalimu Mkuu na kutoka Kulia ni Bibi. Salome Konki – Mwalimu wa Usawa wa Jinsia akifuatiwa Ndg. Yohana Sambila – Mwenyekiti wa Klabu ya Maadili.
Hivyo makala Maafisa wa Sekretarieti ya maadili watembelea Klabu ya Maadili wa Shule ya Msingi Chang’ombe Dodoma
yaani makala yote Maafisa wa Sekretarieti ya maadili watembelea Klabu ya Maadili wa Shule ya Msingi Chang’ombe Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maafisa wa Sekretarieti ya maadili watembelea Klabu ya Maadili wa Shule ya Msingi Chang’ombe Dodoma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/maafisa-wa-sekretarieti-ya-maadili.html
0 Response to "Maafisa wa Sekretarieti ya maadili watembelea Klabu ya Maadili wa Shule ya Msingi Chang’ombe Dodoma"
Post a Comment