Kampuni ya Pennyroyal, Internalional Volunteers Oman wakabidhi Viti na Meza Skuli ya Sekondari,Msingi Matemwe Zanzibar

Kampuni ya Pennyroyal, Internalional Volunteers Oman wakabidhi Viti na Meza Skuli ya Sekondari,Msingi Matemwe Zanzibar - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kampuni ya Pennyroyal, Internalional Volunteers Oman wakabidhi Viti na Meza Skuli ya Sekondari,Msingi Matemwe Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kampuni ya Pennyroyal, Internalional Volunteers Oman wakabidhi Viti na Meza Skuli ya Sekondari,Msingi Matemwe Zanzibar
kiungo : Kampuni ya Pennyroyal, Internalional Volunteers Oman wakabidhi Viti na Meza Skuli ya Sekondari,Msingi Matemwe Zanzibar

soma pia


Kampuni ya Pennyroyal, Internalional Volunteers Oman wakabidhi Viti na Meza Skuli ya Sekondari,Msingi Matemwe Zanzibar



Pennyroyal Limited kupitia kitengo chake cha huduma kwa jamii Best of Zanzibar wakishirikiana na International Volunteers kutoka Oman wametoa msaada wa madawati 200 yenye thamani ya Tsh 18,000,000/- ( Shilingi millioni kumi na nane).

Akiongea katika sherehe za kukabidhiana, Mkurungezi Mkuu Bw. Brian Thomson alikua na haya ya kusema:“Best of Zanzibar imejitolea kuboresha elimu katika shule za Kijini na Mbuyu Tende. Tumejiwekeza katika progamu tofauti za kielimu katika shule hizi mbili zikiwemu Masomo ya ziada (After Hours Tutoring program) kwa wanafunzi 500, na kuwasomesha walimu 30 masomo ya lunga ya Kingereza na mbinu za kufundishia ili kuongeza uwezo na ujuzi wa walimu hao.

Tunawashukuru sana International Volunteers kwa moyo wao wa kujitolea na kushirikiana nasi katika kutoa huduma kwa mashule.”Mkurungenzi huyo alisisitiza umuhimu wa elimu kwa maendeleo ya jamii na ukuwaji wa uchumi wa nchi, ndio maana Best of Zanzibar imejikita katika uboreshaji wa elimu Zanzibar.

“Nia yetu kuu ni kuleta manufaa na kuedeleza msingi mzuri wa kiuchumi Zanzibar. Kwa muda mrefu sana watoto wa shule ya msingi Kijini na Mbuyu Tende wamekaa chini bila madawati kuwaletea ugumu katika kuelewa masomo na kupunguza ufanisi wao wa masomo.

Mkurungezi Mkuu wa Kampuni ya Pennyroyal Limited Brian Thomson , akikabidhi meza na viti 205,Mkurugenzi wa Idara ya Elimu Msingi na Maandalizi Zanzibat Bi. Safia Rijal, kwa ajili ya Skuli ya Sekondari na Msingi ya Kijini Matemwe, kupitia kitengo chake cha huduma kwa jamii Best of Zanzibar kwa kushirikiana na International Volunteers Oman, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Skuli hiyo Matemwe Wilaya ya Kaskazini A Unguja
Mwakilishi wa Kampuni ya Pennyroyal Zanzibar Mohammed Issa akitowa maelezo kabla ya hafla ya makabidhiano wa vifaa kwa ajili ya Skuli za Sekondari na Msingi Kijini Matemwe Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja.
Mwakilishi wa International Volunteers Oman Danny Kim akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Meza na Viti vyake 205, kwa Skuli za Sekondari na Msingi Kijiji cha Kijini Matemwe Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja Skuli hizo zinapata ufadhili kupitia Mradi wa Bset of Zanzibar, uliooko chini ya Kampuni ya Pennyroyal Zanzibar, inayojenga kijiji cha Utalii Matemwe Zanzibar. 
Mkurugenzi Idara ya Elimu Msingi na Maandalizi Zanzibar B. Safia Rijal akizungumza wakati wa hafla hiyoya kukabidhiwa Viti na Meza 205 kutoka kwa Mradi wa Best of Zanzibar kwa kushirikiana na Internalional Volunteers Oman, hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya Skuli ya Sekondari Kijini Matemwe Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja.na kuhudhuriwa na Wananchi wa kijiji hicho. 



Hivyo makala Kampuni ya Pennyroyal, Internalional Volunteers Oman wakabidhi Viti na Meza Skuli ya Sekondari,Msingi Matemwe Zanzibar

yaani makala yote Kampuni ya Pennyroyal, Internalional Volunteers Oman wakabidhi Viti na Meza Skuli ya Sekondari,Msingi Matemwe Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kampuni ya Pennyroyal, Internalional Volunteers Oman wakabidhi Viti na Meza Skuli ya Sekondari,Msingi Matemwe Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/kampuni-ya-pennyroyal-internalional.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kampuni ya Pennyroyal, Internalional Volunteers Oman wakabidhi Viti na Meza Skuli ya Sekondari,Msingi Matemwe Zanzibar"

Post a Comment