title : ASYA IDAROUS KHAMSIN AACHIA JUKWAA KWA MOYO MMOJA!
kiungo : ASYA IDAROUS KHAMSIN AACHIA JUKWAA KWA MOYO MMOJA!
ASYA IDAROUS KHAMSIN AACHIA JUKWAA KWA MOYO MMOJA!
Kila jambo hakika huwa halikosi mwisho msemo huu huwa na ukweli ndani yake ilikuwa kama ndoto kwa Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin kutangaza kustaafu kuandaa jukwaa la Lady in Red, lakini ndoto hiyo imetimia kabisa bila kipingamizi mbele ya hadhara kubwa ya watu usiku wa 9 Feb 2018 ndani ya King Solomon Hall.
Lad in Red 2018 limekuwa ni Onyesho la Mwisho kwa Designer mkongwe ambaye ndiye mwanzilishi wa Onyesho hilo Asya Idarous Khamsin. Kiukweli Jukwaa la mwisho la Lady in Red lilikuwa na mvuto, kwa taswira ya mbali inaonyesha kabisha ni jukwaa mabalo lilikuwa na ushirikiano mkubwa sana wa wadau na wanamitindo wengine toauti ilivyo zoeleka.
Mwisho ni pongenzi kwa Asya kwa kuamua kuwaachia jukwaa wanae yaani Designers walio lelewa na Lady in Red, maana angekuwa na roho mbaya pengine Onyesho lingeishia mitini Hongera sana Asya.
Hivyo makala ASYA IDAROUS KHAMSIN AACHIA JUKWAA KWA MOYO MMOJA!
yaani makala yote ASYA IDAROUS KHAMSIN AACHIA JUKWAA KWA MOYO MMOJA! Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ASYA IDAROUS KHAMSIN AACHIA JUKWAA KWA MOYO MMOJA! mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/asya-idarous-khamsin-aachia-jukwaa-kwa.html
0 Response to "ASYA IDAROUS KHAMSIN AACHIA JUKWAA KWA MOYO MMOJA!"
Post a Comment