WATAALAMU WA MAJI NCHINI WAAGIZWA KUWASIMAMIA WAKANDARASI WA MIRADI YA MAJI

WATAALAMU WA MAJI NCHINI WAAGIZWA KUWASIMAMIA WAKANDARASI WA MIRADI YA MAJI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATAALAMU WA MAJI NCHINI WAAGIZWA KUWASIMAMIA WAKANDARASI WA MIRADI YA MAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATAALAMU WA MAJI NCHINI WAAGIZWA KUWASIMAMIA WAKANDARASI WA MIRADI YA MAJI
kiungo : WATAALAMU WA MAJI NCHINI WAAGIZWA KUWASIMAMIA WAKANDARASI WA MIRADI YA MAJI

soma pia


WATAALAMU WA MAJI NCHINI WAAGIZWA KUWASIMAMIA WAKANDARASI WA MIRADI YA MAJI

Na Jumbe Ismailly -SINGIDA.

NAIBU Waziri wa maji,Juma Aweso amewaagiza wataalamu wa maji nchini kuwasimia kwa karibu wakandarasi waliopewa kazi za miradi ya maji katika suala zima la utekelezaji wa miradi hiyo na kuwaahidi kwamba wizara hiyo haitaweza kuwa kikwazo katika kuhakikisha wakandarsi hao wanalipwa fedha zao kwa wakati ili miradi hiyo isikwame.

Naibu Waziri huyo alitoa agizo hilo mjini Singida wakati wa ziara yake ya siku moja Mkoani Singida kutembelea na kukagua baadhi ya miradi ya maji iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida.

Aidha Aweso alisisitiza kwamba katika ziara zake anazoendelea kufanya amebaini kwamba matatizo ya upatikanajai wa huduma ya maji safi na salama haiwezi kupatikana kwa wataalamu wa wizara hiyo kukaa ofisini kwa kuchezea kompyuta,bali maji yanapatikana kwa wananchi kutokana na kuwatembelea wananchi na kubaini kero zao.

“Na tunafanya ziara tukitambua kabisa maji hayapatikani kwa kukaa ofisini kwa kuccheze kompyuta,maji yanapatikana kwa wananchi kwa sababu anayelala na mgonjwa ndiye anayejua mihemo ya mgonjwa.”alifafanua Naibu Waziri huyo.

Hata hivyo Aweso aliweka bayana kwamba akiwakatika ziara yake ya wiki moja Mkoani Shinyanga alibaini baadhi ya miradid iliyokuwa ikisuasua lakini baada ya kuisukuma imeanza kwenda vizuri na hivyo kutumia fursa hiyo kuwaahidi wananchi wa Mkoa wa Singida kwamba anatarajia kurudi Mkoani hapa kufanya ziara katika Halmashauri zote za Mkoa wa Singida.
Naibu waziri wa maji,Bwana Juma Aweso akiteta jambo na katibu wake mara baada ya kupokea taarifa ya Halmashauri ya wilaya ya Singida inayohusu sekta ya maji.
kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida,Faustine Kiyui akisoma taarifa ya sekta ya maji ya Manispaa ya Singida kwa Naibu waziri wa maji,Bwana Juma Aweso.
Naibu wazziri wa maji,Bwana Juma Awesso akiongozaa kikao cha watendaji wa Halmashauri ya wilaya na Manispaa ya Singida baada ya kupokea taarifa za Halmashauri hizo.(Picha zote Na Jumbe Ismailly)
Ni baadhi ya watendaji wa serikali wa wilaya ya Singida wakiwa katika kikao cha pamoja na Naibu waziri wa maji,Bwana Juma Aweso kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa wilaya ya Singida. 



Hivyo makala WATAALAMU WA MAJI NCHINI WAAGIZWA KUWASIMAMIA WAKANDARASI WA MIRADI YA MAJI

yaani makala yote WATAALAMU WA MAJI NCHINI WAAGIZWA KUWASIMAMIA WAKANDARASI WA MIRADI YA MAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATAALAMU WA MAJI NCHINI WAAGIZWA KUWASIMAMIA WAKANDARASI WA MIRADI YA MAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/wataalamu-wa-maji-nchini-waagizwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATAALAMU WA MAJI NCHINI WAAGIZWA KUWASIMAMIA WAKANDARASI WA MIRADI YA MAJI"

Post a Comment