TUNDU LISSU : KWA VYOVYOTE VILE KITENDO CHA LOWASSA SIYO CHA KUNYAMAZIWA

TUNDU LISSU : KWA VYOVYOTE VILE KITENDO CHA LOWASSA SIYO CHA KUNYAMAZIWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUNDU LISSU : KWA VYOVYOTE VILE KITENDO CHA LOWASSA SIYO CHA KUNYAMAZIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUNDU LISSU : KWA VYOVYOTE VILE KITENDO CHA LOWASSA SIYO CHA KUNYAMAZIWA
kiungo : TUNDU LISSU : KWA VYOVYOTE VILE KITENDO CHA LOWASSA SIYO CHA KUNYAMAZIWA

soma pia


TUNDU LISSU : KWA VYOVYOTE VILE KITENDO CHA LOWASSA SIYO CHA KUNYAMAZIWA



Baada ya Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa kumtembelea Rais Magufuli Ikulu LJanuary mwaka huu, Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye yupo nchini Ubelgiji kwa ajili ya matibabu ametoa mtazamo wake kuhusu suala hilo

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Lissu amepost picha inayomuonesha Lowassa akiwa Ikulu na kuandika maelezo haya; “Na hatukatai kuzungumza na Magufuli kuhusu matatizo mengi na makubwa yanayoikabili nchi yetu.”

“Lakini ni muhimu na lazima viongozi wakuu wa chama washirikishane na washauriane kabla ya mazungumzo hayo. Na baada ya mazungumzo, ni lazima viongozi wakubaliane juu ya kauli za kutoa hadharani kwa umma ili wote tuwe kwenye ukurasa mmoja.

“Viongozi na wanachama wetu wanashambuliwa hadharani kwa mapanga na hata kwa risasi, kumsifia Rais ni kumuunga mkono yeye. Katika mazingira ya kesi nyingi za kutunga dhidi yetu, ‘kazi nzuri’ inayofanywa ina maana gani, kama sio kuhalalisha ukandamizaji tunaofanyiwa.

“Katika mazingira ambapo hata jumuiya ya kimataifa imeanza kuhoji mwenendo wa Rais Magufuli, kutoa kauli kwamba ‘anafanya kazi nzuri’ ni ‘kumtupia taulo’ la propaganda litakalomfichia madhambi mengi aliyowafanyia Watanzania katika miaka hii miwili.

“Kwa vyovyote vile, kitendo cha Lowassa sio cha kunyamaziwa au kuhalalishwa kwa hoja nyepesi nyepesi.”– Lissu


Hivyo makala TUNDU LISSU : KWA VYOVYOTE VILE KITENDO CHA LOWASSA SIYO CHA KUNYAMAZIWA

yaani makala yote TUNDU LISSU : KWA VYOVYOTE VILE KITENDO CHA LOWASSA SIYO CHA KUNYAMAZIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUNDU LISSU : KWA VYOVYOTE VILE KITENDO CHA LOWASSA SIYO CHA KUNYAMAZIWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/tundu-lissu-kwa-vyovyote-vile-kitendo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TUNDU LISSU : KWA VYOVYOTE VILE KITENDO CHA LOWASSA SIYO CHA KUNYAMAZIWA"

Post a Comment