title : Madaktari wa ZOP Watowa Huduma ya Matibabu ya Macho Kisiwani Pemba.
kiungo : Madaktari wa ZOP Watowa Huduma ya Matibabu ya Macho Kisiwani Pemba.
Madaktari wa ZOP Watowa Huduma ya Matibabu ya Macho Kisiwani Pemba.
Daktari wa Macho kutoka Kitengo cha ZOP Pemba, Abdalla Mbarouk,akimpima macho Mwananchi mmoja katika Kisiwa cha Fundo , ili aweze kumpatia huduma inayostahiki wakati madaktari wa ZOP , walipoweka Kambi ya matibabu mbali mbali Kisiwani humo , kilichoko Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Baadhi ya Wananchi wa Kisiwa cha Fundo , Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakisubiri kupatiwa huduma za matibabu mbali mbali ,zinazotolewa na Kitengo cha ZOP Pemba.
Madaktari wa kitengo cha ZOP Pemba ,wakiwa katika picha ya pamoja huko katika Kisiwa cha Fundo wakati walipokuwa katika Kambi ya matibabu ya siku moja.
Hivyo makala Madaktari wa ZOP Watowa Huduma ya Matibabu ya Macho Kisiwani Pemba.
yaani makala yote Madaktari wa ZOP Watowa Huduma ya Matibabu ya Macho Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Madaktari wa ZOP Watowa Huduma ya Matibabu ya Macho Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/madaktari-wa-zop-watowa-huduma-ya.html
0 Response to "Madaktari wa ZOP Watowa Huduma ya Matibabu ya Macho Kisiwani Pemba."
Post a Comment