Thamani ya mauzo ya hisa katika soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) imepanda kutoka Shilingi Billioni 3 ya wiki

Thamani ya mauzo ya hisa katika soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) imepanda kutoka Shilingi Billioni 3 ya wiki - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Thamani ya mauzo ya hisa katika soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) imepanda kutoka Shilingi Billioni 3 ya wiki, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Thamani ya mauzo ya hisa katika soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) imepanda kutoka Shilingi Billioni 3 ya wiki
kiungo : Thamani ya mauzo ya hisa katika soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) imepanda kutoka Shilingi Billioni 3 ya wiki

soma pia


Thamani ya mauzo ya hisa katika soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) imepanda kutoka Shilingi Billioni 3 ya wiki


Taarifa kutoka soko la hisa (DSE)

Mwambawahabari
Thamani ya mauzo ya hisa imepanda kutoka Shilingi Billioni 3 ya wiki iliyoishia 3 Novemba 2017 hadi Shilingi Bilioni 86 kwa wiki iliyoishia 10 Novemba 2017,huku ikichangiwa na ongezeko  kubwa la mara moja kutokana na ununuzi wa  hisa za TBL kwa kampuni tanzu ya SABMiller.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Afisa Mwandamizi wa Soko la hisa Dar es Salaam Stock Exchange, Mery Kinabo,amesema kuwa, idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa imepanda kutoka hisa Mil 3.5 ya wiki iliyoishia 3 Novemba 2017 hadi hisa Mil 9 ya wiki iliyoishia 10 Novemba 2017.

Amesema kuwa Kampuni zilizoongoza katika mauzo ya hisa ni TBL kwa asilimia,99,Banki ya CRDB kwa asilimia 0.56 pamoja na kampuni ya simu za mkononi  VODACOMMON kwa asilimia 0.01.

Ameongeza kuwa, ukubwa mtaji wa kampuni zote zilizoorodheshwa katika soko umepanda kwa Shilingi Bilioni 525 kutoka Shilingi Trilioni 20.2 wiki iliyopita hadi Shilingi Trilioni 20.8 wiki iliyoishia tarehe 10 Novemba . 

Katika hatua nyengine, amesema Kiashiria cha kampuni zote zilizoorodheshwa katika soko yaani DSEI kimepanda kwa pointi 53 kutoka pointi 2,101 hadi 2,154 pointi hii ikiwa ni kutokana na kupanda kwa bei za hisa za Kenya Commercial Bank (KCB), National Media Group (NMG), Kenya Airways (KA), na Tanzania Breweries Ltd (TBL).

Pia kishiria cha kampuni za ndani yaani TSI kimepungua kwa pointi 11 kutoka pointi 3,833 hadi pointi 3,845 kutokana na kupanda kwa bei za hisa za TBL.

Kwa kiashiria cha sekta ya viwanda (IA) kimepanda kwa pointi 26 kutoka pointi 5,303 hadi pointi 5,329 ambapo Kiashiria huduma za kibenki na kifedha (BI) wiki hii imebaki kama awali kwenye wastani wa pointi 2,464, na upande wa Kiashiria cha Sekta ya huduma za kibiashara (CS) wiki hii imebaki kama awali kwenye wastani wa pointi 2,462.


Hivyo makala Thamani ya mauzo ya hisa katika soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) imepanda kutoka Shilingi Billioni 3 ya wiki

yaani makala yote Thamani ya mauzo ya hisa katika soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) imepanda kutoka Shilingi Billioni 3 ya wiki Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Thamani ya mauzo ya hisa katika soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) imepanda kutoka Shilingi Billioni 3 ya wiki mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/thamani-ya-mauzo-ya-hisa-katika-soko-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Thamani ya mauzo ya hisa katika soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) imepanda kutoka Shilingi Billioni 3 ya wiki"

Post a Comment