Mahakama Kuu nchini Kenya Yatupilia Mbali Kesi ya Kupinga Ushindi wa Uhuru Kenyatta

Mahakama Kuu nchini Kenya Yatupilia Mbali Kesi ya Kupinga Ushindi wa Uhuru Kenyatta - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mahakama Kuu nchini Kenya Yatupilia Mbali Kesi ya Kupinga Ushindi wa Uhuru Kenyatta, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mahakama Kuu nchini Kenya Yatupilia Mbali Kesi ya Kupinga Ushindi wa Uhuru Kenyatta
kiungo : Mahakama Kuu nchini Kenya Yatupilia Mbali Kesi ya Kupinga Ushindi wa Uhuru Kenyatta

soma pia


Mahakama Kuu nchini Kenya Yatupilia Mbali Kesi ya Kupinga Ushindi wa Uhuru Kenyatta

Mahakama ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali kesi zilizofunguliwa na wafuasi wa NASA za kupinga ushindi wa Urais wa Uhuru Kenyatta, kwenye uchaguzi wa marudio wa Oktoba 26, 2017

Kesi hiyo ambayo ilikuwa moja kwa moja kwenye vyombo vya habari, iliongozwa na majaji 6 akiwemo Jaji Mkuu David Maraga, na kutoa uamuzi kuwa Uhuru Kenyatta ni mshindi halali wa uchaguzi wa Oktoba 26.

Kufuatia uamuzi huo wa mahakama ya Juu nchini Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuapishwa wiki ijayo, na kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya kwa muhula wa pili.

Ikumbukwe uchaguzi wa marudio ulifanyika baada ya Mahakama ya Juu kufuta matokeo ya Urais ya uchaguzi wa kwanza wa Agosti 8, 2017 na kutaka urudiwe mara ya pili.


Hivyo makala Mahakama Kuu nchini Kenya Yatupilia Mbali Kesi ya Kupinga Ushindi wa Uhuru Kenyatta

yaani makala yote Mahakama Kuu nchini Kenya Yatupilia Mbali Kesi ya Kupinga Ushindi wa Uhuru Kenyatta Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mahakama Kuu nchini Kenya Yatupilia Mbali Kesi ya Kupinga Ushindi wa Uhuru Kenyatta mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mahakama-kuu-nchini-kenya-yatupilia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mahakama Kuu nchini Kenya Yatupilia Mbali Kesi ya Kupinga Ushindi wa Uhuru Kenyatta"

Post a Comment