title : Kocha Salahi aanza kazi na Malkia wa Zanzibar
kiungo : Kocha Salahi aanza kazi na Malkia wa Zanzibar
Kocha Salahi aanza kazi na Malkia wa Zanzibar
Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
KIKOSI kamili cha Timu ya Taifa ya Zanzibar ya Wanawake (Zanzibar Queens) kimeanza mazoezi rasmi kikiwa chini ya bosi mpya wa ufundi, Mohammed Ali Salahi (Richkard), mazoezi ambayo yalianza saa 12:30 za asubuhi katika uwanja wa Amaan.
Zanzibar Queens inajiandaa kwenda nchini Rwanda kwenye Mashindano ya CECAFA Woman Chalenj CUP yanayotarajiwa kufanyika Disemba mwaka huu ambapo kikosi hicho kimepania msimu huu kufanya vyema tofauti na mwaka jana ambapo Zanzibar ndio timu ya kwanza kuaga rasmi mashindano baada ya kufungwa michezo yote mitatu na kufikisha idadi kubwa ya mabao ya kufungwa 30-1 kwenye michezo yote hiyo.
Wachezaji 20 wanaonda kikosi hicho msimu huu ni :-
WALINDA MLANGO
Salma Abdallah (Green Queens)
Hajra Abdallah (Jumbi)
Mtumwa (New Generation Queens)
WALINZI
Hawa Ali (New Generation Queens)
Mtumwa Khatib (Women Fighter)
Aziza Mwadini (New Generation Queens)
Flora Kayanda (Jumbi)
Safaa Makirikiri (New Generation Queens)
Neema Suleiman (Jumbi)
VIUNGO
Mwajuma Ali (Jumbi)
Nasrin Mohd (Women Fighter)
Riziki Abdallah "Chadole" (Jumbi)
Aziza Ali (Jumbi)
Sijali Abdallah (Green Queens)
WASHAMBULIAJI
Mwajuma Abdallah (New Generation Queens)
Shadida Abdallah (Women Fighter)
Neema Machano (Jumbi)
Dawa Haji (Women Fighter)
Sabah Hashim "Mess" (New Generation Queens)
Greece Ronald (Green Queens)
Hivyo makala Kocha Salahi aanza kazi na Malkia wa Zanzibar
yaani makala yote Kocha Salahi aanza kazi na Malkia wa Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kocha Salahi aanza kazi na Malkia wa Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/kocha-salahi-aanza-kazi-na-malkia-wa.html
0 Response to "Kocha Salahi aanza kazi na Malkia wa Zanzibar"
Post a Comment