Kajala Aonyesha Umahiri Wake wa Kumtega Shemeji Yake

Kajala Aonyesha Umahiri Wake wa Kumtega Shemeji Yake - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kajala Aonyesha Umahiri Wake wa Kumtega Shemeji Yake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kajala Aonyesha Umahiri Wake wa Kumtega Shemeji Yake
kiungo : Kajala Aonyesha Umahiri Wake wa Kumtega Shemeji Yake

soma pia


Kajala Aonyesha Umahiri Wake wa Kumtega Shemeji Yake

Video mpya ya 'Omulilo' ambayo ni kazi yake mwanamama Saida Karoli imeachiwa rasmi, huku Kajala akiigiza muhusika aliyeimbwa kwenye wimbo huo.

Video hiyo inamuonyesha Kajala akiwa anaishi kwa shoga yake kipenzi, lakini licha ya kumsitiri anafanya kitendo kibaya cha kumtaka shemeji yake kimapenzi kwa kumtega kwa kumvalia mavazi ya kumshawishi.
 
Kazi hiyo ambayo imefanywa na mikono ya Hanscana, ni moja ya kazi zilizoachiwa hivi karibuni na Saida karoli tangu arudi rasmi kwenye game, baada ya kishindo cha wimbo wa 'Orugambo'. 


Hivyo makala Kajala Aonyesha Umahiri Wake wa Kumtega Shemeji Yake

yaani makala yote Kajala Aonyesha Umahiri Wake wa Kumtega Shemeji Yake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kajala Aonyesha Umahiri Wake wa Kumtega Shemeji Yake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/kajala-aonyesha-umahiri-wake-wa-kumtega.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kajala Aonyesha Umahiri Wake wa Kumtega Shemeji Yake"

Post a Comment