title : HALMASHAURI ZAAGIZWA KUHAKIKISHA WANAHAMASISHA WANACHI KUWA NA VYOO BORA PAMOJA NA KUVITUMIA
kiungo : HALMASHAURI ZAAGIZWA KUHAKIKISHA WANAHAMASISHA WANACHI KUWA NA VYOO BORA PAMOJA NA KUVITUMIA
HALMASHAURI ZAAGIZWA KUHAKIKISHA WANAHAMASISHA WANACHI KUWA NA VYOO BORA PAMOJA NA KUVITUMIA
baadhi ya washiriki wa mkutano wa siku tano wa wanachama wa Afya ya jamii Tanzania wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wa Katala Beach mjini Singida wakiendelea na mkutano wao.(Picha zote Na Jumbe Ismailly)
Na,Jumbe Ismailly SINGIDA Nov,28,2017 Magonjwa
NAIBU Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI,Joseph Kakundi amewaagiza Maafisa afya wa ngazi zote katika Halmashauri,Hospitalini,Kata na vijiji kuhakikisha wanawahamasisha wananchi kuwa na vyoo bora kwenye kaya zao pamoja na kuvitumia ili kuepuka magonjwa ya kuambukiza miongoni mwa jamii.
Naibu Wazziri huyo alitoa agizo hilo alipokuwa akifungua mkutano wa siku tano wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania unaofanyika katika Hoteli ya Katala Beach mjini Singida.
Kwa mujibu wa Kakundi akizungumzia kwa upande wa shule za msingi na sekondari alibainisha kuwa kwa kuzingatia viwango vya kitaifa kila wanafunzi 20 wa kike kutumia tundu moja na kwa wanafunzi 25 wa kiume watumie pia tundu moja,kiwango ambacho hakitoshelezi kutokana na idadi ya matundu yaliyopo katika shule hizo.
“Kwa hiyo lazima walimu wasimamie ili matundu yaliyopo yatumike kikamilifu japokuwa kuna upungufu na tunahitaji hela nyingi sana ili tuweze kufikia viwango vya kitaifa,lakini pale penye upungufu ni lazima tusimamie wanafunzi watumie vile vyoo vizuri”alisisitiza Naibu waziri huyo.
Hata hivyo Naibu Waziri Kakundi alisisitiza kwamba shule yeyote ile isiyokuwa na matundu ya vyoo,shule hiyo haitaruhusiwa kuendelea kutoa huduma kwa wananzi na badala yake serikali haitasita kuifunga mara moja na kuelekezaa kwamba ni lazima pawe na njia zingine za dharura za kuwasaidia wanafunzi hao kwenda kujisaidia.
Akitoa taarifa fupi kwa Naibu Waziri huyo,Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida,Dk.Selemani Manyata alisema kwamba takribani asilimia 4 ya wananchi wa Mkoa wa Singida ambao ni sawa na wananchi 11,000 hawana kabisa vyoo bora na asilimia 48 ya wananchi wana vyoo vya muda hali ambayo inachangia uchafuzi wa mazingira na vyanzo vya maji yanayoleta magonjwa ambayo matibabu yake ni gharama kubwa.
“Sisi kama Chama cha Afya ya Jamii Tanzania kuanzia haya magonjwa yanayoweza kuzuilika na kama malengo ya Mileniamu yanavyosema kwamba tupunguze kiwango hicho”alifafanua.Aidha Mganga Mkuu huyo aliweka bayana apia kwamba kutokana na idadi kubwa ya kaya ambazo hazina vyoo wanaendelea kuhamasisha Halmashauri ili wananchi waweze kutumia vyoo.
Hata hivyo Dk.Manyata alitoa mfano kwamba inakadiriwa kuwa mtu mmoja hujisaidia kinyesi kisichopungua uzito wa gramu 250 na kwa mwaka mtu mmoja hujisaidia kinyesi chenye uzito wa kilo 90 kwa siku kinachoenda kwenye vyanzo vya maji.
Naye Mwenyekiti wa Chama Cha Afya ya Jamii Tanzania,Dk Mashombo Mkamba alizitaja baadhi ya changamoto wanazokabiliananazzo kuwa ni pamoja na kuelewa na watu kukubali na wawe tayari kupima afya zao kwani mpaka sasa bado watu ni wagumu sana kupima afya zao,labda akishauriwa kupima malaria na siyo ugonjwa mwingine.

Hivyo makala HALMASHAURI ZAAGIZWA KUHAKIKISHA WANAHAMASISHA WANACHI KUWA NA VYOO BORA PAMOJA NA KUVITUMIA
yaani makala yote HALMASHAURI ZAAGIZWA KUHAKIKISHA WANAHAMASISHA WANACHI KUWA NA VYOO BORA PAMOJA NA KUVITUMIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HALMASHAURI ZAAGIZWA KUHAKIKISHA WANAHAMASISHA WANACHI KUWA NA VYOO BORA PAMOJA NA KUVITUMIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/halmashauri-zaagizwa-kuhakikisha.html
0 Response to "HALMASHAURI ZAAGIZWA KUHAKIKISHA WANAHAMASISHA WANACHI KUWA NA VYOO BORA PAMOJA NA KUVITUMIA"
Post a Comment