HAKUNA FISADI WALA MCHWA ATAKAEINGIA KWENYE SHIRIKISHO LA WAGANGA WA TIBA ASILI TANZANA BILA KUFUATA TARATIBU.

HAKUNA FISADI WALA MCHWA ATAKAEINGIA KWENYE SHIRIKISHO LA WAGANGA WA TIBA ASILI TANZANA BILA KUFUATA TARATIBU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HAKUNA FISADI WALA MCHWA ATAKAEINGIA KWENYE SHIRIKISHO LA WAGANGA WA TIBA ASILI TANZANA BILA KUFUATA TARATIBU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HAKUNA FISADI WALA MCHWA ATAKAEINGIA KWENYE SHIRIKISHO LA WAGANGA WA TIBA ASILI TANZANA BILA KUFUATA TARATIBU.
kiungo : HAKUNA FISADI WALA MCHWA ATAKAEINGIA KWENYE SHIRIKISHO LA WAGANGA WA TIBA ASILI TANZANA BILA KUFUATA TARATIBU.

soma pia


HAKUNA FISADI WALA MCHWA ATAKAEINGIA KWENYE SHIRIKISHO LA WAGANGA WA TIBA ASILI TANZANA BILA KUFUATA TARATIBU.


Na David John

MWENYEKITI wa Shirikisho la Waganga wa Tiba Asili Tanzania (SHIVYATIATA) Abdallahaman Lutenga Amesema chini ya uongozi wake atahakikisha hakuna fisadi wala mchwa yeyote atakaengia kwenye shirikisho hilo.

Amesema kuwa wanachama wa shirikisho hilo lazima watambue kuwa shirikisho hilo ni mahala patakatifu na viongozi wanaokwenda kuongoza shirikisho lazima wawe waadilifu na wenye uchungu na si vinginevyo.

Lutenga ametoa kauli hii mapema leo katika mahojiano maalum ambapo alikuwa anajibu hoja mbalimbali zinazotolewa na baadhi ya wanachama wa shirikisho hilo.

Amesema kuwa anasikia malalamiko na hoja ambazo zinatolewa na baadhi ya waganga hususani wakihoji uhalali wa yeye kuendelea kuwa Mwenyekiti ambapo amesema yeye yupo kwa mujibu wa Katiba yao na Kama kuna watu hawataki basi wanaweza kwenda Mahakamani. 

Mwenyekiti huyo taifa amesema kuwa yeye ataendelea kuwa mwenyekiti hadi uchaguzi Mkuu wa shirikisho hilo utakapofanyika mwishoni mwa 2018 nakudai kuwa wajumbe wa halmashauri kuu kwa mujibu wa katiba yao kwa Kauli moja waliwaongezea muda ili kukamilisha baadhi ya mambo.
Mwenyekiti wa shirikisho la waganga wa tiba asili Tanzania Abdallahaman Lutenga akifafanua jambo kuhusu tuhuma mbalinbali ambazo zinatolewa na baadhi ya wanachama wa shirikisho hilo.picha na David John.




Hivyo makala HAKUNA FISADI WALA MCHWA ATAKAEINGIA KWENYE SHIRIKISHO LA WAGANGA WA TIBA ASILI TANZANA BILA KUFUATA TARATIBU.

yaani makala yote HAKUNA FISADI WALA MCHWA ATAKAEINGIA KWENYE SHIRIKISHO LA WAGANGA WA TIBA ASILI TANZANA BILA KUFUATA TARATIBU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HAKUNA FISADI WALA MCHWA ATAKAEINGIA KWENYE SHIRIKISHO LA WAGANGA WA TIBA ASILI TANZANA BILA KUFUATA TARATIBU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/hakuna-fisadi-wala-mchwa-atakaeingia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HAKUNA FISADI WALA MCHWA ATAKAEINGIA KWENYE SHIRIKISHO LA WAGANGA WA TIBA ASILI TANZANA BILA KUFUATA TARATIBU."

Post a Comment