title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Akutana na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Ikulu Zanzibar leo.
kiungo : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Akutana na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Ikulu Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Akutana na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Ikulu Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Nd,Omar Hassan Omar (king)(kushoto) alipokuwa akifanya uchambuzi wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 cha Wizara ya hiyo,wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani
Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali zilizo chini ya Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo leo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali zilizo chini ya Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo leo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 26/10 /2017.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Akutana na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Ikulu Zanzibar leo.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Akutana na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Ikulu Zanzibar leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Akutana na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Ikulu Zanzibar leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_26.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Akutana na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Ikulu Zanzibar leo."
Post a Comment