title : Maisha : TASNIA HALISI WhatsApp Group Yazinduliwa kwa Kishindo ,Jijini Dar es Salaam
kiungo : Maisha : TASNIA HALISI WhatsApp Group Yazinduliwa kwa Kishindo ,Jijini Dar es Salaam
Maisha : TASNIA HALISI WhatsApp Group Yazinduliwa kwa Kishindo ,Jijini Dar es Salaam
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
WAANDISHI wa habari ambao ni wanachama wa kundi la Whatsapp lijulikanalo kama TASNIA HALISI wamezindua kundi hilo leo Oktoba 28, 2017 kwa sherehe kabambe ya kukata na shoka iliyohanikizwa na nyama choma, vinywaji vya kila aina na muziki.
Mratibu wa shughuli hiyo, Bi. Angela Msangi amesema, kundi hilo ni mukusanyiko wa wanataaluma na wadau wa habari na linalenga kuwaleta pamoja wana tasnia kwa nia ya kubadilishana taarifa na kusaidiana kitaaluma na kijamii.
Katika uzinduzi huo uliosindikizwa na burudani ya muziki umeshuhudia waandishi kutoka sehemu mbalimbali nchini wakishiriki.
Katika sherehe hiyo, shampeni mbili zilifunguliwa ikiwa ni pamoja na kukata keki.
Hivyo makala Maisha : TASNIA HALISI WhatsApp Group Yazinduliwa kwa Kishindo ,Jijini Dar es Salaam
yaani makala yote Maisha : TASNIA HALISI WhatsApp Group Yazinduliwa kwa Kishindo ,Jijini Dar es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maisha : TASNIA HALISI WhatsApp Group Yazinduliwa kwa Kishindo ,Jijini Dar es Salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/maisha-tasnia-halisi-whatsapp-group.html
0 Response to "Maisha : TASNIA HALISI WhatsApp Group Yazinduliwa kwa Kishindo ,Jijini Dar es Salaam"
Post a Comment