LIGI KUU ZENJ KUINGIA MZIGONI TENA KESHO MIEMBENI CITY KUKIPIGA NA CHUONI

LIGI KUU ZENJ KUINGIA MZIGONI TENA KESHO MIEMBENI CITY KUKIPIGA NA CHUONI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LIGI KUU ZENJ KUINGIA MZIGONI TENA KESHO MIEMBENI CITY KUKIPIGA NA CHUONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LIGI KUU ZENJ KUINGIA MZIGONI TENA KESHO MIEMBENI CITY KUKIPIGA NA CHUONI
kiungo : LIGI KUU ZENJ KUINGIA MZIGONI TENA KESHO MIEMBENI CITY KUKIPIGA NA CHUONI

soma pia


LIGI KUU ZENJ KUINGIA MZIGONI TENA KESHO MIEMBENI CITY KUKIPIGA NA CHUONI

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Mzunguko wa nne wa ligi kuu soka ya Zanzibar kanda ya Unguja utaanza kesho kwa kupigwa mchezo mmoja katika Uwanja wa Amaan kati ya Chuoni dhidi ya Miembeni City majira ya saa 10:00 za jioni.

Chuoni inakwenda katika mchezo huo wakiwa na alama 4 wakishika nafasi ya 6 huku Miembeni City wenyewe wakijitupa katika mchezo huo wakiwa na rekodi mbaya yakupoteza michezo mitatu mfululizo ya awali na wakikamata nafasi ya 13 katika timu 14 zinazoshiriki ligi hiyo.


Hivyo makala LIGI KUU ZENJ KUINGIA MZIGONI TENA KESHO MIEMBENI CITY KUKIPIGA NA CHUONI

yaani makala yote LIGI KUU ZENJ KUINGIA MZIGONI TENA KESHO MIEMBENI CITY KUKIPIGA NA CHUONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LIGI KUU ZENJ KUINGIA MZIGONI TENA KESHO MIEMBENI CITY KUKIPIGA NA CHUONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/ligi-kuu-zenj-kuingia-mzigoni-tena.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "LIGI KUU ZENJ KUINGIA MZIGONI TENA KESHO MIEMBENI CITY KUKIPIGA NA CHUONI"

Post a Comment