WAAMUZI WA ZANZIBAR WALIOFAULU KOPA TEST HAWA HAPA

WAAMUZI WA ZANZIBAR WALIOFAULU KOPA TEST HAWA HAPA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAAMUZI WA ZANZIBAR WALIOFAULU KOPA TEST HAWA HAPA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAAMUZI WA ZANZIBAR WALIOFAULU KOPA TEST HAWA HAPA
kiungo : WAAMUZI WA ZANZIBAR WALIOFAULU KOPA TEST HAWA HAPA

soma pia


WAAMUZI WA ZANZIBAR WALIOFAULU KOPA TEST HAWA HAPA

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Kamati ya Waamuzi Visiwani Zanzibar imetangaza majina ya Waamuzi waliofaulu katika mtihani wa utimamu wa mwili (Kopa Test) uliofanyika juzi Amani Mjini Unguja.

Akizungumza na Mtandao huu katibu wa Kamati ya Waamuzi Zanzibar Muhsin Ali "Kamara" amesema jumla ya Waamuzi 56 walifanya mtihani huo  ambapo Waamuzi 34 ndio waliyofaulu huku Waamuzi 22 walifeli.

Kamara amewataja Waamuzi hao 34 waliofaulu ni Omar Abdallah Khamis, Kassim Suleiman Sereji, Mohammed Khamis Mwadin, Mohammed Ali Mohammed, Nassor Salum Masoud, Ali Ramadhan Rajab (Kibo mdogo), Nassir Salum Sihai (Msomali), Abeid Juma Khamis na Iddi Khamis Mberwa.

Wengine ni Mariam Chalse Mattius, Ruwaida Abdallah Khamis, Mwanahija Foum Makame, Dalila Jaffar Mtwana, Mgaza Ali Kinduli, Mbaraka Haule Haule, Mfaume Ali Nassor, Rashid Farahan Issa (Webb), Mohammed Kassim Mohammed, Mohammed Omar Haji, Omar Bakar Omar, Mohammed Rajab Mgeni, Mustafa Abdallah Khamis, Sharifu Haji Mohammed, Issa Haji Vuai, Ramadhan Keis Ramadhan, Ame Abdallah Khamis, Peter Masele Juma, Mussa Hemed Iddi, Omar Khamis Juma, Abdallah Ali Abdallah, Machano Ali Khamis, Mohammed Hassan Nassor, Suleiman Karim Khatib na Suleiman Zaharan Ali. 

Waamuzi hao watasimamia Mashindano yote yanayosimamiwa na ZFA Taifa ikiwemo ligi kuu, daraja la kwanza na la Pili Taifa kwenye msimu mpya wa mwaka 2017-2018.


Hivyo makala WAAMUZI WA ZANZIBAR WALIOFAULU KOPA TEST HAWA HAPA

yaani makala yote WAAMUZI WA ZANZIBAR WALIOFAULU KOPA TEST HAWA HAPA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAAMUZI WA ZANZIBAR WALIOFAULU KOPA TEST HAWA HAPA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/waamuzi-wa-zanzibar-waliofaulu-kopa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAAMUZI WA ZANZIBAR WALIOFAULU KOPA TEST HAWA HAPA"

Post a Comment