Taarifa Kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)

Taarifa Kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Taarifa Kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Taarifa Kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
kiungo : Taarifa Kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)

soma pia


Taarifa Kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa kuwa mwili wa marehemu Praiveti Mussa Jumanne Muryery ambaye ameuawa nchini DRC akiwa katika jukumu la Ulinzi wa Amani, utaagwa kwa heshima tarehe 25 Septemba 2017 katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa        Dkt.  Florens M. Turuka ataongoza katika kuuaga mwili wa Marehemu.

Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema peponi Amin.

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
22 Septemba, 2017.


Hivyo makala Taarifa Kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)

yaani makala yote Taarifa Kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Taarifa Kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/taarifa-kutoka-jeshi-la-ulinzi-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Taarifa Kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)"

Post a Comment