title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Ali Mohamed Shein, Afungua Mskiti Mpya wa Kisasa wa Masjid Jaaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar Uliojengwa na Mfalma Qaboos Zawadi Kwa Wazanzibar.
kiungo : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Ali Mohamed Shein, Afungua Mskiti Mpya wa Kisasa wa Masjid Jaaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar Uliojengwa na Mfalma Qaboos Zawadi Kwa Wazanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Ali Mohamed Shein, Afungua Mskiti Mpya wa Kisasa wa Masjid Jaaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar Uliojengwa na Mfalma Qaboos Zawadi Kwa Wazanzibar.
Baadhi ya Viongozi wa Serikali na Viongozi wa Dini Zanzibar na Wawakilishi wa Mfalme Qaboos wakiwa katika viwanja vya Masjid Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar wakisubiri kumpokea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzin Alhajj Dkt. Ali Mohamed Shein, kwa ajili ya Ufunguzi wa msiokiti huo ulioko katika maeneo ya mazizini jirani na Chuo cha Kiislam Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud alipowasili katika viwanja hivyo kwa ajili ya kuufungua msikiti huo leo ijumaa 22/9/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania alipowasili katika viwanja vya Masjid Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Ali Mohamed Shein, Afungua Mskiti Mpya wa Kisasa wa Masjid Jaaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar Uliojengwa na Mfalma Qaboos Zawadi Kwa Wazanzibar.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Ali Mohamed Shein, Afungua Mskiti Mpya wa Kisasa wa Masjid Jaaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar Uliojengwa na Mfalma Qaboos Zawadi Kwa Wazanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Ali Mohamed Shein, Afungua Mskiti Mpya wa Kisasa wa Masjid Jaaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar Uliojengwa na Mfalma Qaboos Zawadi Kwa Wazanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_22.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Ali Mohamed Shein, Afungua Mskiti Mpya wa Kisasa wa Masjid Jaaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar Uliojengwa na Mfalma Qaboos Zawadi Kwa Wazanzibar."
Post a Comment