Rais Magufuli Atangaza Ajira 3000 za Wanajeshi

Rais Magufuli Atangaza Ajira 3000 za Wanajeshi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli Atangaza Ajira 3000 za Wanajeshi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Magufuli Atangaza Ajira 3000 za Wanajeshi
kiungo : Rais Magufuli Atangaza Ajira 3000 za Wanajeshi

soma pia


Rais Magufuli Atangaza Ajira 3000 za Wanajeshi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa nchi Dkt. John Pombe Magufuli, ametangaza kutoa ajira kwa wanajeshi 3000 wapya mwaka huu, ili jeshi la Tanzania liweze kuwa na askari wa kutosha.

Rais Magufuli ametoa taarifa hiyo leo alipokuwa akihutubia umma mara baada ya kuwapa kamisheni maafisa wa Jeshi, katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha, huku akitaka wahusika kutowasahau vijana waliohitimu mafunzo ya JKT.

"Lakini pia leo tumepata maofisa 422, unapokuwa na jeshi la maofisa lazima kuwepo na 'junior officers', huwezi ukawa na jeshi lote lina maofisa, kwa kutambua hili natangaza rasmi kwamba nitatoa nafasi 3,000 za kuajiri wanajeshi wapya, na hawa wataoajiriwa muzingatie na wale ambao wamemaliza JKT, lengo ni kuhakikisha jeshi letu linakuwa na maaskari wa kutosha na la kisasa zaidi", amesema Rais Magufuli.

Leo Rais Magufuli ametoa kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi 422 waliohitimu mafunzo katika chuo cha Monduli, hafla ambayo imekuwa ya kwanza kufanyika katika uwanja wa umma,


Hivyo makala Rais Magufuli Atangaza Ajira 3000 za Wanajeshi

yaani makala yote Rais Magufuli Atangaza Ajira 3000 za Wanajeshi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli Atangaza Ajira 3000 za Wanajeshi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/rais-magufuli-atangaza-ajira-3000-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Magufuli Atangaza Ajira 3000 za Wanajeshi"

Post a Comment