title : MADAWA YA KULEVYA YAKAMATWA KWENYE DVD PEMBA
kiungo : MADAWA YA KULEVYA YAKAMATWA KWENYE DVD PEMBA
MADAWA YA KULEVYA YAKAMATWA KWENYE DVD PEMBA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba limemkamata mwanamke mwengine akiwa na jumla ya kete 969 zinazosadikiwa kuwa ni madawa ya kulevya zilizokuwa zimehifadhiwa ndani ya DVD.
Mwanamke huyo ambaye amekamatwa na wenziwe wawili wanaume katika maeneo ya PBZ Chake Chake anakuwa wa pili kukamatwa ndani ya kipindi cha wiki mbili baada ya Septemba 9 mwezi huu kukamatwa mwengine akiwa na jumla ya kete 3621.
Akizungumza na waandishi wa habari huko Ofisini kwake Madungu Chake Cheke Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba Shikhan Mohamed Shikhan amemtaja mwanamke huo ni Asha Mohamed Issa (30) mkaazi wa Wawi Chake Chake, huku wenzake wakiwa ni Ali Nyoro Tirima (32)wa Wawi na Salim Said Kombo 23 mkaazi wa Konde Wilaya ya Micheweni.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba Shikhan Mohamed Shikhan akizungumzia kukamatwa kwa madawa hayo.
Mzigo wa madawa hayo.
Hivyo makala MADAWA YA KULEVYA YAKAMATWA KWENYE DVD PEMBA
yaani makala yote MADAWA YA KULEVYA YAKAMATWA KWENYE DVD PEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MADAWA YA KULEVYA YAKAMATWA KWENYE DVD PEMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/madawa-ya-kulevya-yakamatwa-kwenye-dvd.html
0 Response to "MADAWA YA KULEVYA YAKAMATWA KWENYE DVD PEMBA"
Post a Comment