Hafla ya Chakula cha Jioni Iliondaliwa na Mhe.Kinana Kwa Ajili ya Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti Cha Vietinam Mjini Dodoma.

Hafla ya Chakula cha Jioni Iliondaliwa na Mhe.Kinana Kwa Ajili ya Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti Cha Vietinam Mjini Dodoma. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Hafla ya Chakula cha Jioni Iliondaliwa na Mhe.Kinana Kwa Ajili ya Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti Cha Vietinam Mjini Dodoma., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Hafla ya Chakula cha Jioni Iliondaliwa na Mhe.Kinana Kwa Ajili ya Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti Cha Vietinam Mjini Dodoma.
kiungo : Hafla ya Chakula cha Jioni Iliondaliwa na Mhe.Kinana Kwa Ajili ya Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti Cha Vietinam Mjini Dodoma.

soma pia


Hafla ya Chakula cha Jioni Iliondaliwa na Mhe.Kinana Kwa Ajili ya Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti Cha Vietinam Mjini Dodoma.




Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma Alhaj Adamu Kimbisa akimtolea ufafanuzi wa zawadi ya kinyango Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha vietnam (VCP) Comred Chau Van Lam uku katibu Mkuu wa (CCM) akishuhudia zoezi hilo,wakati wa hafla ya Chakula cha Jion ilioandaliwa na kinana.
 Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Comred Abdurahman Kinana akizungumza kabla ya Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha vietnam (VCP) Comred Chau Van Lam kukabidhiwa zawadi na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma Alhaj Adamu Kimbisa wakati wa hafla ya Chakula cha Jion.
 Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Comred Abdurahman Kinana akizungumza na balozi wa Vietnam Nguyen kim Doanh.


 Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Comred Abdurahman Kinana akifurahia jambo na wageni wake toka chama cha Kikomunisti cha Vietnam (VCP) jana wakati wa hafla ya chakula cha jion.
 Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Comred Abdurahman Kinana akizungumza wakati wa hafla ya chakula cha jion.
 Wajumbe wa Chama cha kikomunisti cha Vietnam (VCP) pamoja na Katibu mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazaza CCM wa (pili toka kushoto) wakifuatilia mazungumzo ya Katibu mkuu wa CCM  katika hafla ya chakula cha jion.
Baadhi Wajumbe wa Sekretariet wakifuatilia mazungumzo ya Katibu mkuu wa CCM  katika hafla ya chakula cha jion.
 Katibu Mkuu wa CCM Comred Abdurahman Kinana na Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha vietnam (VCP) Comred Chau Van Lam wakinyanyua glasi kabla ya kuzigonganisha kutakiana heri kabla ya chakula cha jion alicho mwandalia Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha vietnam (VCP) Comred Chau Van Lam Mjini dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma Alhaj Juma Kimbisa pamoja na Katibu wa idara ya SUKI kanal mstaaf Ngemela Rubiga wakinyanyua glasi kabla ya kuzigonganisha kutakiana heri kabla ya chakula cha jion  Katibu mkuu wa CCM alicho mwandalia Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha vietnam (VCP) Comred Chau Van Lam Mjini dodoma.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar DKT.Abdallah Mabodi akiagana na Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha vietnam (VCP) Comred Chau Van Lam mara baada ya kumalizika hafla ya chakula cha Usiku ilioandaliwa na Katibu mkuu wa CCM Comred Abdulrahman kinana Mjini dodoma.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Comred Abdulrahman Kinana akiagana na Mgeni wake Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha vietnam (VCP) Comred Chau Van Lam mara baada ya kumalizika kwa hafla ya chakula cha jion aliomwandalia mgeni wake   Mjini dodoma.



 (PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)





Hivyo makala Hafla ya Chakula cha Jioni Iliondaliwa na Mhe.Kinana Kwa Ajili ya Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti Cha Vietinam Mjini Dodoma.

yaani makala yote Hafla ya Chakula cha Jioni Iliondaliwa na Mhe.Kinana Kwa Ajili ya Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti Cha Vietinam Mjini Dodoma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Hafla ya Chakula cha Jioni Iliondaliwa na Mhe.Kinana Kwa Ajili ya Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti Cha Vietinam Mjini Dodoma. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/hafla-ya-chakula-cha-jioni-iliondaliwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Hafla ya Chakula cha Jioni Iliondaliwa na Mhe.Kinana Kwa Ajili ya Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti Cha Vietinam Mjini Dodoma."

Post a Comment