DAWASA SASA KUFIKIA 95% YA USAMBAZAJI MAJI

DAWASA SASA KUFIKIA 95% YA USAMBAZAJI MAJI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DAWASA SASA KUFIKIA 95% YA USAMBAZAJI MAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DAWASA SASA KUFIKIA 95% YA USAMBAZAJI MAJI
kiungo : DAWASA SASA KUFIKIA 95% YA USAMBAZAJI MAJI

soma pia


DAWASA SASA KUFIKIA 95% YA USAMBAZAJI MAJI


Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi DAWASA Mhandisi Modester Mushi akichangia mjadala katika mkutano huo
Mwambawahabari 
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es salaam DAWASA imeanza utekelezaji wa mradi wa ukusanyaji na uondoaji wa majitaka utakaoongeza kiwango cha kusafisha Majitaka kutoka 10% Kwa sasa hadi kufikia 30% ifikapo 2020.

Hayo yamejiri baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kubainisha kuwa wananchi wa Mkoa huo wanaweza kupata huduma ya majisafi na salama 100% ifikapo mwaka 2020.

Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi DAWASA Mhandisi Modester Mushi amesema kuwa kiwango cha upatikanaji maji jijini humo kimeongezeka na kufikia 74% baada ya mradi wa Ruvu juu na Ruvu chini kukamilika.

"Mradi wa Ruvu juu na Ruvu chini umeongeza uzalishaji wa maji hadi kufikia lita milioni 270 kwa siku jijini Dar es salaam", alisema.

Aidha DAWASA imepanga kujenga mitambo mitatu mikubwa ya kisasa ya kusafisha majitaka sambamba na ulazaji wa mabomba ya kusafishia majitaka katika maeneo ya Jangwani, Mbezi Beach na Kurasini.


Hivyo makala DAWASA SASA KUFIKIA 95% YA USAMBAZAJI MAJI

yaani makala yote DAWASA SASA KUFIKIA 95% YA USAMBAZAJI MAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DAWASA SASA KUFIKIA 95% YA USAMBAZAJI MAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/dawasa-sasa-kufikia-95-ya-usambazaji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DAWASA SASA KUFIKIA 95% YA USAMBAZAJI MAJI"

Post a Comment