Dada wa Diamond Esma Afunguka Kuhusu Zari 'Watu Hawajui Thamani yako Kwa Diamond'

Dada wa Diamond Esma Afunguka Kuhusu Zari 'Watu Hawajui Thamani yako Kwa Diamond' - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dada wa Diamond Esma Afunguka Kuhusu Zari 'Watu Hawajui Thamani yako Kwa Diamond', tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dada wa Diamond Esma Afunguka Kuhusu Zari 'Watu Hawajui Thamani yako Kwa Diamond'
kiungo : Dada wa Diamond Esma Afunguka Kuhusu Zari 'Watu Hawajui Thamani yako Kwa Diamond'

soma pia


Dada wa Diamond Esma Afunguka Kuhusu Zari 'Watu Hawajui Thamani yako Kwa Diamond'


Hawajui thamani yako kwa Naseeb walimtenda wengi mpk kufikia kudharauliwa majina kibao wakampa Mungu akakushusha, akakuvuta mbali ulipo ili umfute machozi ambayo siku zote alikuwa anatamani aje mtu amfute... ulimpa furaha na akili ya kuogopa nisitumie sana nikiweke akiba ili wanangu wawe ktk maisha mazuri na familia yangu... ulimpa nguvu ya kupambana usiku na mchana yote kwa ajili yenu... Mwanamke unayejua thamani ya Mwanaume uko mbali lakini pindi urudipo unahakikisha anakula nini anavaa nini na analala sehemu safi na salama tena kwa mikono yako huo ndo uanamke mwanamke... WE LOVE YOU MAMA TEE TUNAJUA THAMANI YAKO KWETU PLZ

Happy birthday to you love ❤
Najua wengi wanataka nafasi yako ila hawawezi kuipata Mama tee utaendelea kuw mama tee hakuna kama ww GENERAL


Hivyo makala Dada wa Diamond Esma Afunguka Kuhusu Zari 'Watu Hawajui Thamani yako Kwa Diamond'

yaani makala yote Dada wa Diamond Esma Afunguka Kuhusu Zari 'Watu Hawajui Thamani yako Kwa Diamond' Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dada wa Diamond Esma Afunguka Kuhusu Zari 'Watu Hawajui Thamani yako Kwa Diamond' mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/dada-wa-diamond-esma-afunguka-kuhusu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dada wa Diamond Esma Afunguka Kuhusu Zari 'Watu Hawajui Thamani yako Kwa Diamond'"

Post a Comment