title : SSRA YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA KWENYE VIWANJA VYA NZUNGUNI MKOANI DODOMA
kiungo : SSRA YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA KWENYE VIWANJA VYA NZUNGUNI MKOANI DODOMA
SSRA YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA KWENYE VIWANJA VYA NZUNGUNI MKOANI DODOMA
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlama ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde Msika (wa pili kushoto) akifafanua jambo kwa wageni waliotembelea banda lao wakati wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kikanda katika viwanja vya Nanenane Mkoani Dodoma.
Afisa wa Mamlama ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Aminah Kisisa akigawa vipeperushi kwa moja ya wadau waliotembelea Banda la SSRA kwenye Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati.
Afisa wa Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlama ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ally Masaninga akifafanua kwa mmoja ya wadau waliotembelea banda la Mamlaka hiyo wakati wa Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati.
Hivyo makala SSRA YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA KWENYE VIWANJA VYA NZUNGUNI MKOANI DODOMA
yaani makala yote SSRA YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA KWENYE VIWANJA VYA NZUNGUNI MKOANI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SSRA YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA KWENYE VIWANJA VYA NZUNGUNI MKOANI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ssra-yashiriki-maonesho-ya-nanenane.html
0 Response to "SSRA YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA KWENYE VIWANJA VYA NZUNGUNI MKOANI DODOMA"
Post a Comment