title : RC MAKONDA AHIMIZA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KUDUMISHA USAFI,AZINDUA BUSTANI KABURI MOJA NAKUTOA AGIZO HILI KWA DC MJEMA ,
kiungo : RC MAKONDA AHIMIZA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KUDUMISHA USAFI,AZINDUA BUSTANI KABURI MOJA NAKUTOA AGIZO HILI KWA DC MJEMA ,
RC MAKONDA AHIMIZA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KUDUMISHA USAFI,AZINDUA BUSTANI KABURI MOJA NAKUTOA AGIZO HILI KWA DC MJEMA ,
Na Maria Kaira,
Mwambawahabari
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wananchi wa jiji La Dar es salaam, kuzingatia hali ya usafi na kutofanya biashara zao katika eneo la bustani ambalo iliyotengwa kwa ajili ya watu kupumzika.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wananchi wa jiji La Dar es salaam, kuzingatia hali ya usafi na kutofanya biashara zao katika eneo la bustani ambalo iliyotengwa kwa ajili ya watu kupumzika.
Akizungumza na wananchi katika uzinduzi wa bustani ya"Kaburi moja"iliyopo barabara ya Samora Avenue wilayani Ilala, Makonda amesema ni jukumu la kila mmoja kuhakikisha anatunza mazingira ya bustani hiyo ili kuweza kuwavutia wageni na kuwa jiji la mfano kwa usafi.
Katika huzinduzi huo uliweza kuudhuliwa na viongozi mbalimbali wa serikali pamoja na wananchi kwa ujumla ambapo uzinduzi wa bustani hiyo uliweza kugarimu Dola za kimarekani 380,000.
"Niwajibu wa kila mmoja kulinda eneo hili libaki katika hali ya usafi sio uzinduzi ukiishamalizika hali inarudi kama zamani, pia ni marufuku mtu yoyote yule kufanya biashara katika eneo hili, shauku ya serikali ni kuhakikisha tunapanga mji ili kuwa na muonekano mzuri " amesema
Pia Makonda amemuomba Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema kuhakikisha maghorofa yote makubwa yaliyopo katikati ya jiji la Dar es salaam kuwekwa taa zenye mwanga mkubwa ili kuweza kuongeza ulinzi katika jiji, nakuongeza kuwa mabango yote ya matangazo yawekwe katika hayo maghorofa ili kuweza kuwarahisisha wananchi kusoma kwa urahisi.
Hata hivyo ameongeza kuwa shauku yake kubwa kuona vituo vya daradara vinakarabatiwa na kuwa vya kisasa zaidi ili kuweza kuiingizia serikali mapato.
Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya JICA Toshio Nagase amesema wataendelea kupunguza msongamono wa magari katika jiji hili, pia ameishukuru serikali ya Tanzania kujitolea kwa ufanisi katika mradi hiyo inayoendelea ndani ya jiji.
Hivyo makala RC MAKONDA AHIMIZA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KUDUMISHA USAFI,AZINDUA BUSTANI KABURI MOJA NAKUTOA AGIZO HILI KWA DC MJEMA ,
yaani makala yote RC MAKONDA AHIMIZA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KUDUMISHA USAFI,AZINDUA BUSTANI KABURI MOJA NAKUTOA AGIZO HILI KWA DC MJEMA , Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA AHIMIZA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KUDUMISHA USAFI,AZINDUA BUSTANI KABURI MOJA NAKUTOA AGIZO HILI KWA DC MJEMA , mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rc-makonda-ahimiza-wakazi-wa-dar-es.html
0 Response to "RC MAKONDA AHIMIZA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KUDUMISHA USAFI,AZINDUA BUSTANI KABURI MOJA NAKUTOA AGIZO HILI KWA DC MJEMA ,"
Post a Comment