RAIS DK.SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA

RAIS DK.SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DK.SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DK.SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA
kiungo : RAIS DK.SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA

soma pia


RAIS DK.SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimsalimia Mtoto Samira Mussa miezi Miwili aliyechukuliwa na dada yake Lussia Mussa Miaka Kumi na tano wanaoishi katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,aliwasalimia baada ya   kutembelea Shamba la Mikarafuu leo,akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kulifungua Tawi la CCM Tibirinzi leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.


Hivyo makala RAIS DK.SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA

yaani makala yote RAIS DK.SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK.SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-dkshein-afanya-ziara-wilaya-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DK.SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA"

Post a Comment