MTOLEA ATEMBELEA MIRADI SABA KATIKA KATA TOFAUTI WILAYANI TEMEKE

MTOLEA ATEMBELEA MIRADI SABA KATIKA KATA TOFAUTI WILAYANI TEMEKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTOLEA ATEMBELEA MIRADI SABA KATIKA KATA TOFAUTI WILAYANI TEMEKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MTOLEA ATEMBELEA MIRADI SABA KATIKA KATA TOFAUTI WILAYANI TEMEKE
kiungo : MTOLEA ATEMBELEA MIRADI SABA KATIKA KATA TOFAUTI WILAYANI TEMEKE

soma pia


MTOLEA ATEMBELEA MIRADI SABA KATIKA KATA TOFAUTI WILAYANI TEMEKE

Mbunge wa Jimbo la Temeke Abdalla Mtolea amevipongeza vikundi saba vilivyoiwezeshwa na Mfuko wa Mbunge kwa kuweza kujiendeleza na kuanza kufikia malengo waliyojiwekea.

Aliyasema hayo katika ziara ya vikundi saba katika kata nne za Wilaya ya Temeke akiwa ameongoza na wawakilishi kutoka Taasisi ya Global Patner ya nchini Uingereza.

Katika kata nne alizotembelea, Mtolea amewaonyesha wageni hao namna wananchi wanavyojikita katika kujiiunua kiuchumi kwa kuunda vikundi vyao binafsi na kujishughulisha na shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo ufugaji wa kuku wa mayai, kutotoa mayai, upandaji na uuzaji wa miti aina mbalimbali,  na sanaa za mikono kama batiki, vikoba na masuala ya sanaa ya uigizaji.

Mtolea allitembelea kata ya Mtoni, Azimio, Vituka, Makangarawe na Kilakala 
 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abdalla Mtolea  akiwa na Meg Munn kutoka taasisi ya Global Patber kutoka Nchini Uingerza na kutembelea kata ya Mtoni katika Kikundi cha Mfendengeni wanaojishughulisha na shughuli za upandaji wa vitalu vya miti ikiwa ni katika mradi unaosimamiwa na ofisi ya Mbunge.
 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abdalla Mtolea akiwa na Meg Munn kutoka taasisi ya Global Patber kutoka Nchini Uingerza na kutembelea kata ya Azimio katika kikundi cha Saccos ya Vijana kinachojishughulisha na mradi wa utotoleshaji wa mayai ya kuku.

 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abdalla Mtolea akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mtongani Unguja Kata ya Azimio akishuhudiwa na Mweyekiti wa Mtaa huo Zainab Liganja wakati wa ziara ya Mbunge huyo katika Miradi mbalimbali ya kimaendeleo katika kata saba za Wilaya ya Temeke.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI


Hivyo makala MTOLEA ATEMBELEA MIRADI SABA KATIKA KATA TOFAUTI WILAYANI TEMEKE

yaani makala yote MTOLEA ATEMBELEA MIRADI SABA KATIKA KATA TOFAUTI WILAYANI TEMEKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MTOLEA ATEMBELEA MIRADI SABA KATIKA KATA TOFAUTI WILAYANI TEMEKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mtolea-atembelea-miradi-saba-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MTOLEA ATEMBELEA MIRADI SABA KATIKA KATA TOFAUTI WILAYANI TEMEKE"

Post a Comment