HOSPITALI YA AGA KHAN KUTOA HUDUMA YA UPASUAJI KWA WALIOKAKAMAA VIUNGO NOVEMBA 3-5 MWAKA HUU.

HOSPITALI YA AGA KHAN KUTOA HUDUMA YA UPASUAJI KWA WALIOKAKAMAA VIUNGO NOVEMBA 3-5 MWAKA HUU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HOSPITALI YA AGA KHAN KUTOA HUDUMA YA UPASUAJI KWA WALIOKAKAMAA VIUNGO NOVEMBA 3-5 MWAKA HUU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HOSPITALI YA AGA KHAN KUTOA HUDUMA YA UPASUAJI KWA WALIOKAKAMAA VIUNGO NOVEMBA 3-5 MWAKA HUU.
kiungo : HOSPITALI YA AGA KHAN KUTOA HUDUMA YA UPASUAJI KWA WALIOKAKAMAA VIUNGO NOVEMBA 3-5 MWAKA HUU.

soma pia


HOSPITALI YA AGA KHAN KUTOA HUDUMA YA UPASUAJI KWA WALIOKAKAMAA VIUNGO NOVEMBA 3-5 MWAKA HUU.

Mkuu wa kitengo wa Upasuaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Edwin Mrema (Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam akiwasihi wananchi wenye matatizo ya viungo vilivyo kakamaa  wajitokeze katika hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam kwaajili ya kufanyiwa upasuaji wa viungo ambavyo vimekakamaa kutokana na Kupata ajali za Moto, ajali za barabarani pamoja na ukatili wa Majumbani. Kulia ni Mkuu wa kitengo cha  Upasuaji, Athar Ali.
Mkuu wa Operesheni wa Hospitali ya Aga Khan, Sisau Konte akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na namna wanatakavyofanya upasuaji wa Viungo vilivyokakamaa kutokana na ajali za moto pamoja na ajali za barabarani. Kulia ni  Mkuu wa kitengo wa Upasuaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Edwin Mrema na kushoto ni Mkuu wa kitengo cha  Upasuaji, Athar Ali.
Meneja masoko na Mawasiliano wa Hospitali ya Aga Khan, Olayce Lotha akifafanua jambo mblele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo juu ya upasuaji wa viungo vilivyokakamaa utakao kuwa unafanyika katika hospitali ya Aga Khani jijini Dar es Salaam wajitokeze kwani matibabu hayo yatakuwa hayana gharama yeyote upasuaji utakaoaza Novemba 3hadi 5 mwaka huu. Kulia ni  Mkuu wa kitengo wa Upasuaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Edwin Mrema.
Picha na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.

HOSPITALI ya Aga Khan  hapa nchini imeeandaa mpango maalumu kwaajili ya upasuaji wa viungo vilivyokakamaa kutokana na  ajali za moto, ajali za barabarani pamoja na ukatili naofanyika majumbani upasuaji huo utaanza Novemba 3 hadi Novemba 5 mwaka huu.

 Hayo yamesemwa na Mkuu wa kitengo wa Upasuaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Edwin Mrema wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.

Amesema kuwa mpango huo utaaza Novemba 3 hadi Novemba 5 mwaka huu katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaa na kwa wakazi wa Mikoani waweze kujisajili katika Hospitali yeyote ya Aga Khani na wanaoweza kusafiri na kufika katika Hospitali ya Aga Khan ya Dar es Salaam ambako kunatolewa hiyo huduma.


Hivyo makala HOSPITALI YA AGA KHAN KUTOA HUDUMA YA UPASUAJI KWA WALIOKAKAMAA VIUNGO NOVEMBA 3-5 MWAKA HUU.

yaani makala yote HOSPITALI YA AGA KHAN KUTOA HUDUMA YA UPASUAJI KWA WALIOKAKAMAA VIUNGO NOVEMBA 3-5 MWAKA HUU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HOSPITALI YA AGA KHAN KUTOA HUDUMA YA UPASUAJI KWA WALIOKAKAMAA VIUNGO NOVEMBA 3-5 MWAKA HUU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/hospitali-ya-aga-khan-kutoa-huduma-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HOSPITALI YA AGA KHAN KUTOA HUDUMA YA UPASUAJI KWA WALIOKAKAMAA VIUNGO NOVEMBA 3-5 MWAKA HUU."

Post a Comment