DHAMANA YA MTUHUMIWA WA AFRIKA KUSIN, TSAMPOS KUJULIKANA KESHO.

DHAMANA YA MTUHUMIWA WA AFRIKA KUSIN, TSAMPOS KUJULIKANA KESHO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DHAMANA YA MTUHUMIWA WA AFRIKA KUSIN, TSAMPOS KUJULIKANA KESHO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DHAMANA YA MTUHUMIWA WA AFRIKA KUSIN, TSAMPOS KUJULIKANA KESHO.
kiungo : DHAMANA YA MTUHUMIWA WA AFRIKA KUSIN, TSAMPOS KUJULIKANA KESHO.

soma pia


DHAMANA YA MTUHUMIWA WA AFRIKA KUSIN, TSAMPOS KUJULIKANA KESHO.

 Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii.
MAPEMA hii leo, upande wa Mashtaka katika kesi inayomkabili raia wa AfriKa Kusini, Menolaos Tsampos, (61), umeileza mahakama kuwa, mshtakiwa huyo hana uhalali wa kuishi nchini ingawa imethibitika kuwa ni kweli ana makazi eneo la mbezi jiji Dar es Salaam.

Wakili wa Serikali Nassoro Katuga amesema hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha wa mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu alipokuwa akiwasilisha ripoti ya ya mahakama iliyowaagiza kwenda kukagua makazi ya mshtakiwa pamoja na hati ya mshtakiwa.

Amesema, kamishna wa Uhamiaji nchini amethibitisha kuwa Tsampos, hana uhalali wa kuishi nchini ila Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mbezi amethibitisha kuwa, mshtakiwa huyo ni kweli anayo makazi ya kuishi eneo hilo.

Hata hivyo, wakili wa utetezi, Jebra Kambole, ameomba mahakama kumpatia dhamana mshtakiwa huyo kwani imedhihirisha kuwa ni kweli mshtakiwa anaishi Mbezi na pia Kamishna wa Uhamiaji hajaeleza ni kwa nini hana uhalali wa kuishi hapa nchini.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi kesho kwa ajili ya kutolewa uamuzi kama apatiwe dhamana au la.

Raia huyo wa Afrika Kusini, anakabiliwa na mashtaka ya kutishia kwa mtandao, kuishi nchini kwa muda wa miaka minne bila kibali na kutumia paspoti yenye visa ya kugushi.
 Raia wa AfriKa Kusini, Menolaos Tsampos, (61) aliyekuwa anashikiliwa kwa makosa manne leo tena amesomewa mashtaka katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu, mashtaka yake ikiwemo kuishi nchini bila kibali.  Leo pia  imethibitishwa kuwa Visa yake ya kusafiria si halali na hana uhalali wa kuishi hapa nchini.

 Raia wa AfriKa Kusini, Menolaos Tsampos, (61)akiwa amejificha sura yake katika mahakama ya Kisutu jijini  Dar es Salaam.


Hivyo makala DHAMANA YA MTUHUMIWA WA AFRIKA KUSIN, TSAMPOS KUJULIKANA KESHO.

yaani makala yote DHAMANA YA MTUHUMIWA WA AFRIKA KUSIN, TSAMPOS KUJULIKANA KESHO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DHAMANA YA MTUHUMIWA WA AFRIKA KUSIN, TSAMPOS KUJULIKANA KESHO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/dhamana-ya-mtuhumiwa-wa-afrika-kusin.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DHAMANA YA MTUHUMIWA WA AFRIKA KUSIN, TSAMPOS KUJULIKANA KESHO."

Post a Comment