Rais Magufuli Alivyoshiriki Ibada na kuendesha harambee ya ujenzi wa Kanisa Chato

Rais Magufuli Alivyoshiriki Ibada na kuendesha harambee ya ujenzi wa Kanisa Chato - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli Alivyoshiriki Ibada na kuendesha harambee ya ujenzi wa Kanisa Chato, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Magufuli Alivyoshiriki Ibada na kuendesha harambee ya ujenzi wa Kanisa Chato
kiungo : Rais Magufuli Alivyoshiriki Ibada na kuendesha harambee ya ujenzi wa Kanisa Chato

soma pia


Rais Magufuli Alivyoshiriki Ibada na kuendesha harambee ya ujenzi wa Kanisa Chato

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Magufuli jana alisali Ibada ya Jumapili ya 15 ya mwaka wa Kanisa iliyofanyika katika Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita na kuendesha harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa hilo.

Katika harambee hiyo Mhe. Rais Magufuli ambaye aliongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli alifanikiwa kuchangisha fedha taslimu kiasi cha Shilingi Milioni 13, ahadi Shilingi 920,000/=, mifuko ya saruji 33 na malori 2 ya mchanga.

Mhe. Rais Magufuli aliwapongeza waumini wa Parokia ya Chato kwa hatua kubwa waliyopiga katika ujenzi wa kanisa kuu la Parokia hiyo na amewataka kuendelea kujitolea kukamilisha hatua za mwisho za ujenzi huo.



Hivyo makala Rais Magufuli Alivyoshiriki Ibada na kuendesha harambee ya ujenzi wa Kanisa Chato

yaani makala yote Rais Magufuli Alivyoshiriki Ibada na kuendesha harambee ya ujenzi wa Kanisa Chato Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli Alivyoshiriki Ibada na kuendesha harambee ya ujenzi wa Kanisa Chato mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-magufuli-alivyoshiriki-ibada-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Magufuli Alivyoshiriki Ibada na kuendesha harambee ya ujenzi wa Kanisa Chato"

Post a Comment