title : Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni kuliamsha Dude Bonn,Ujerumani
kiungo : Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni kuliamsha Dude Bonn,Ujerumani
Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni kuliamsha Dude Bonn,Ujerumani
Siku ya Ijumaa 28 Julai 2017 Saa 2.00 Usiku ,Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni au Viumbe wa ajabu “Anunnaki Aliens” yenye makao yake
nchini Ujerumani inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho la wazi la Orient-Afrika litakalo fanyika mjini Bonn,Ujrumani siku ya Ijumaa 28.Julai 2017
saa 2.00 Usiku(20.00 hrs),bendi hiyo inayoongozwa na Kamanda Ras Makunja inadumu katika medani ya muziki kwa miaka 24 na kufanikiwa kuteka washabiki wa kimataifa,pamoja na kuachia nyimbo na CD kadha
bendi hiyo imejizolea umaarufu katika majukwaa ya kimataifa wa mdundo wa Extraordinary “Bongo Dansi” unaowatia kiwewe washabiki barani ulaya. Usikose kujumuika nao at www.ngoma-africa.com au http://ift.tt/1fRaxcD
Hivyo makala Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni kuliamsha Dude Bonn,Ujerumani
yaani makala yote Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni kuliamsha Dude Bonn,Ujerumani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni kuliamsha Dude Bonn,Ujerumani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/ngoma-africa-band-aka-ffu-ughaibuni.html
0 Response to "Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni kuliamsha Dude Bonn,Ujerumani"
Post a Comment