title : MAJALIWA AHUDHURIA MSIBA WA LINAH MWAKYEMBE
kiungo : MAJALIWA AHUDHURIA MSIBA WA LINAH MWAKYEMBE
MAJALIWA AHUDHURIA MSIBA WA LINAH MWAKYEMBE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo,alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya Agakhan leo alfajiri. Julai 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu Kassim Mary Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo,alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya Agakhan leo alfajiri. Julai 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,akizungumza na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe, alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Dr. Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya Agakhan leo alfajiri. Julai 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimkabidhi mchango wa rambirambi Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe,alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Dr. Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya Agakhan leo alfajiri. Julai 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA AHUDHURIA MSIBA WA LINAH MWAKYEMBE
yaani makala yote MAJALIWA AHUDHURIA MSIBA WA LINAH MWAKYEMBE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AHUDHURIA MSIBA WA LINAH MWAKYEMBE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/majaliwa-ahudhuria-msiba-wa-linah.html
0 Response to "MAJALIWA AHUDHURIA MSIBA WA LINAH MWAKYEMBE"
Post a Comment