Kagame Ajitabiria Ushindi wa Kishindo Rwanda

Kagame Ajitabiria Ushindi wa Kishindo Rwanda - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kagame Ajitabiria Ushindi wa Kishindo Rwanda, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kagame Ajitabiria Ushindi wa Kishindo Rwanda
kiungo : Kagame Ajitabiria Ushindi wa Kishindo Rwanda

soma pia


Kagame Ajitabiria Ushindi wa Kishindo Rwanda



Rais wa Rwanda Paul Kagame tayari anadai kuwa mshindi katika uchaguzi ujao wa Rais utakaofanyika tarahe nne mwezi ujao.

Kagame amewaambia wafuasi wake katika mkutano wa kwanza wa kuanza rasmi kwa kampeni nchini humo kuwa matokeo ya uchaguzi tayari yalijulikana mnamo mwaka 2015 wakati Wanyarwanda waliposhiriki katika kura ya maoni ili bunge kuifanyia katiba mageuzi ya kumruhusu kugombea muhula mwingine.

Kagame amesema wapinzani wake hawawezi kubadilisha mapenzi ya wananchi kuwa yeye ndiye chaguo lao.

Paul Kagame licha ya kuwa anasifiwa kwa kuleta uthabiti katika taifa hilo la takriban watu milioni 12, anashutumiwa na mashirika ya kutetea haki za binadamu kwa kutumia mkono wa chuma kuliongoza taifa na kuwakandamiza wapinzani.


Hivyo makala Kagame Ajitabiria Ushindi wa Kishindo Rwanda

yaani makala yote Kagame Ajitabiria Ushindi wa Kishindo Rwanda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kagame Ajitabiria Ushindi wa Kishindo Rwanda mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/kagame-ajitabiria-ushindi-wa-kishindo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kagame Ajitabiria Ushindi wa Kishindo Rwanda"

Post a Comment