DC.MNDEME AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA NA KUVIFUNGIA VITUO NANE VYA MAFUTA AKISHIRIKIANA NA TRA DODOMA MJINI

DC.MNDEME AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA NA KUVIFUNGIA VITUO NANE VYA MAFUTA AKISHIRIKIANA NA TRA DODOMA MJINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC.MNDEME AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA NA KUVIFUNGIA VITUO NANE VYA MAFUTA AKISHIRIKIANA NA TRA DODOMA MJINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC.MNDEME AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA NA KUVIFUNGIA VITUO NANE VYA MAFUTA AKISHIRIKIANA NA TRA DODOMA MJINI
kiungo : DC.MNDEME AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA NA KUVIFUNGIA VITUO NANE VYA MAFUTA AKISHIRIKIANA NA TRA DODOMA MJINI

soma pia


DC.MNDEME AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA NA KUVIFUNGIA VITUO NANE VYA MAFUTA AKISHIRIKIANA NA TRA DODOMA MJINI

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Mh.Christina Mndeme leo amefanya ukaguzi kwenye vituo vya mafuta ili kuona kama wafanyabiashara ya kuuza mafuta wanafuata sheria na taratibu za utoaji risiti na ulipaji kodi kwa kufunga mashine sahihi ya utoaji risiti iliyofungwa moja kwa moja kwenye pampu au mita ya mafuta. 

Katika ZIARA hiyo Kati ya vituo 9 alivyovitembelea amegundua kituo kimoja tu ndiyo kinafuata sheria na kuchukua hatua ya kuvifungia vituo nane (08).

Kazi hiyo imefanyika kwa kushirikiana na maafisa wa TRA Dodoma Mjini. Tunatekeleza kwa Hapa Kazi Tu, Lipa kodi kwa Maendeleo ya Taifa letu.

Pichani kushoto ni  Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Mh.Christina Mndeme akishirikiana na Ofisa wa TRA kukifungia moja ya kituo cha mafuta mkoani humo kilichobainika kutofuata sheria na taratibu za utoaji risiti na ulipaji kodi kwa kufunga mashine sahihi ya utoaji risiti iliyofungwa moja kwa moja kwenye pampu au mita ya mafuta.
Wasimamizi wa kituo wakipewa maelekezo baada ya kituo chao cha mafuta kufungiwa


Hivyo makala DC.MNDEME AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA NA KUVIFUNGIA VITUO NANE VYA MAFUTA AKISHIRIKIANA NA TRA DODOMA MJINI

yaani makala yote DC.MNDEME AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA NA KUVIFUNGIA VITUO NANE VYA MAFUTA AKISHIRIKIANA NA TRA DODOMA MJINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC.MNDEME AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA NA KUVIFUNGIA VITUO NANE VYA MAFUTA AKISHIRIKIANA NA TRA DODOMA MJINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/dcmndeme-afanya-ziara-ya-kushtukiza-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC.MNDEME AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA NA KUVIFUNGIA VITUO NANE VYA MAFUTA AKISHIRIKIANA NA TRA DODOMA MJINI"

Post a Comment